Air Tanzania Air Bus A220-300 (BCS3) ikipiga jaramba tayari kabisa kuja nyumbani.

Hapa Kazi Tu, CDM wakiona hivi wanaumia sana mioyo yao, wanataka hata kuloga ndege hz, ila ndege hazilogeki..!! :cool:
Mambo mazuri kama haya ni kuyaunga mkono kwa hali na mali. Kwa bahati mbaya kuna ambao hawataki watu wote wafaidi kwa kuwa mapesa haya yangekuwa yanaingia mifukoni mwao kwa namna moja ama nyingine. sasa ni kwa faida ya wote.
 
Ziangukie kwenye bahari ya Atlantic tu,maana uku zimeanza kugombanisha watu.#Tanzania ni nchi ya amani.
 
Video nyingine hii hapa


Ndege hii jumamosi ijayo itaanza safari ya kuja kwenye makao yake makuu. Ile ya pili ambayo iko kiwandani kama inavyoonekana katika picha hii, itaanza mazoezi ya kuruka mwishoni mwa wiki hii. Sijui itabatizwa jina gani... Dar es salaam "Hapa kazi tu" au Mwanza "Hapa kazi tu" .. Tusubiri kushuhudia ndani ya wiki hii, Huenda zikaingia zote kwa mpigo.
 

Attachments

  • Screenshot_2018-12-17 Mirabel CSeries Production Update - June 13, 2018.png
    Screenshot_2018-12-17 Mirabel CSeries Production Update - June 13, 2018.png
    108.7 KB · Views: 39
Sasa kama EU washaanza kutujadili huko mbeleni hawatatuwekea vikwazo vya kutua katika nchi za Umoja wao
 
Ndege hii jumamosi ijayo itaanza safari ya kuja kwenye nyumba yake ya kudumu. Ile ya pili ambayo iko kiwandani kama inavyoonekana katika picha hii, itaanza mazoezi ya kuruka mwishoni mwa wiki hii. Sijui itabatizwa jina gani... Dar es salaam "Hapakazi tu" au Mwanza "Hapakazi tu" .. Tusubiri kushuhudia ndani ya wiki hii, Huenda zikaingia zote kwa mpigo.
Pole sana.
 
Back
Top Bottom