Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Kiukweli sisi ngozi nyeusi tunahitaji kuanzisha viwanda kwa wingi maana iweje kila kitu tunaagiza toka kwa ngozi nyeupe. Sasa ni zamu yao kuagiza magari, nguo,Na mashine toka kwetu.
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Kiukweli kuna mambo yanayokuwa yanaendelea nchi hii kwa baadhi ya waliopewa dhamana ya kutuongoza yanakatisha tamaa mfano hili jipu kukosa mtumbuaji Mbinga kurugenzi SACCOS ni SACCOS iliyo chini...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Mkuu wa mko wa Dar es salaam mh Paul Makonda amejitolea kuandaa mpambano mkali sana wa kugombea Tsh 50 millions baina ya wasanii wawili waotumbuiza muziki kupitia live band kati ya king of the...
6 Reactions
65 Replies
6K Views
...Magufuli ana nia njema ya kuliongoza taifa hili, ..Pitia hotuba zake kabla hajawa rais,utaona alivyokua na nia nzuri. ...labda kuna makosa ya kiufundi kwenye serikali yake,labda...
0 Reactions
7 Replies
875 Views
Tumeingizwa choo cha walevi? [emoji481][emoji481] Kithungu > Aircraft Model Has History of Landing-Gear Problems. Mkalimani Please[emoji85][emoji85] Msomaji wetu wa Tanzagiza bwana Laurent...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Leo ndiyo ilikuwa siku ya mwisho ya wafanya biashara wadogo wadogo almaarufu kama Machinga. kufanya biashara barabarani ambao uliItolewa na mkurugenzi wa halmashauri ya jiji pamoja na mkuu wa...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wajuzi wa mambo haya nawaombeni mje hapa na mtoe ufafanuzi. Kwa kadiri ya kuona kwangu, waumini wengi wa makanisa ya wokovu/kilokole ni wanawake. Na hata wale 'wanaotolewa mapepo' wengi wao ni...
11 Reactions
211 Replies
18K Views
  • Redirect
Mfalme Sulemani alimwomba mwenyezi mungu ampatie hekima katika utawala wake. Wapo wanaokushangilia kwa kazi iliyombele yako,"Kutumbua unaowaiita Majipu" bila sheria kufatwa. Kuna msemo wetu...
0 Reactions
Replies
Views
Kundi kubwa la vijana wanaosadikika kuwa ni zaidi ya 30 usiku wa kuamkia Leo maeneo ya Buza kwa Osama wamevamia nyumba moja na kupora vitu mbalimbali kama TV,computer, simu na pesa kwa mkazi mmoja...
3 Reactions
48 Replies
10K Views
Haiwezekani nanunua umeme wa shilingi 6000, mnakata 3540 mnanipa umeme wa 2460. Kama kuna gharama mlizoongeza kwa kinyemela mtuambie. Watalamu wa hesabu hebu tupigieni hesabu kutokana na hiyo...
3 Reactions
47 Replies
6K Views
Mwandishi maarufu duniani mwenye asili ya nchini Nigeria anayeishi Marekani, Wole Soyinka ametiza ahadi yake ya kuiharibu kadi yake inayompa nafasi ya kuishi nchini humo (Green Card) kabla hata...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ipo youtube Top 5 biggest bank robberies Imewekwa trh 11/10/2016 ina dk 3 sek 40 Wizi wa $282 milions ulifanyika Dar
1 Reactions
46 Replies
8K Views
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, SACP Peter Kakamba, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kuugua maradhi ya tumbo, Jeshi la Polisi limethibitisha. Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
3 Reactions
87 Replies
16K Views
Kijana Eliasi Daudi (Siyo jina lake halisi) anaondoka kwao kigoma na kusafiri hadi kahama ili kutafuta maisha, akiwa kahama anakutana na mtu ambaye hatimaye anabadilisha kabisa mwelekeo wa maisha...
16 Reactions
205 Replies
67K Views
Tunaomba wahusika ikiwamo wizara kusimamia kwa karibu kuona ni jinsi gani sisi wateja ambao tunakwenda Ktk ofisi za TRA kulipia mapato tunavyotendwa pale. Nimelipia Road licence pale nje...
0 Reactions
1 Replies
716 Views
VIWANGO vya malipo ya maegesho ya magari katikati ya Jiji la Dar es Salaam yamepanda kutoka Sh 300 kwa saa moja hadi Sh 500, na kuanzia jana malipo hayo yatakuwa yanakusanywa na kampuni kutoka...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
  • Redirect
Rais wa Tanzania Dkt. John Magufuli tayari amekwishasaini mabadiliko ya sheria yanayomtaka mwajiri kukata asilimia 15 ya mshahara wa mwajiriwa ambaye ni mnufaika wa mkopo wa elimu ya juu kwa ajili...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Kuna kawimbo fulani watu walijenga tabia ya kukaimba. Shilingi ya Tanzania ilikuwa ikiitwa pesa ya madafu. Ila sasa hivi haka kawimbo sikasikii tena sijui kamemezwa na wimbo gani! Kuna...
0 Reactions
Replies
Views
Kwako mkurugenzi wa TANESCO Pale Kimara mna kiwanja kikubwa njia ya kwenda Bonyokwaa... Katika kiwanja kile wanannchi walifanya Kama stand ya mabasi yao kuelekea Bonyokwa. Ajabu mkaja...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom