africansongs
Member
- Jan 5, 2018
- 83
- 225
Habarini wadau, natumai mu wazima wa afya na mnaendelea vizuri na majukumu yenu ya kila kukicha.
Leo nimeona magazeti mengi yakiandika kuhusu shule binafsi kutoruhusiwa kurudisha wanafunzi nyumbani kwa kigezo cha ada.
Mimi naomba kuuliza, hivi hizi shule binafsi zinapokea ruzuku kutoka serikalini na kama hazipokei, inakuwaje serikali iwalazimishe kuendelea na watu wasio lipa ada, hao walimu watalipwa na mshahara upi, je kama ni boarding, chakula kinatoka wapi, serikalini ama?
Embu tujadiliane kwa hili.