Baada ya serikali kutoa maelekezo ya kurejea katika kikokotoo cha zamani, wastaafu wanaotoka sekta binafsi sasa wataendelea kulipwa mafao ya mkupuo kwa asilimia 25 ya michango yao, huku wale wa...
UNAPORUHUSU. NAIBU WAZIRI KUONGEANA WEWE ULE N HESHIMA KWAKO ANA MAMBO MENGI YA KUFANYA
SASA KWANINK UOMBE RADHI
1))SIPENDI ULIPOONGELEA SWALA LA MH RC WA ARUSHA NA MKUU WA WILAYA YALE N MAMBO...
Ndugu zangu juzi nilikuwa na safari ya kutoka Norway kuja hapa kwetu. Nilikuwa na mabegi matatu, bag moja lilikuwa na simu nne, nikaambiwa mkaguzi mmoja nichukue bag niende nazo kwenye chumba cha...
God is constantly in war, His disire is to villain other spirits. God is spirit and spirit comes from another spirit. Labda tujiulize ilichukua muda gani wa yeye kujitambua kuwa ananguvu zote...
Habarini za usiku huu, naombeni mwenye biblia anisaidie ninapitia wakati mgumu sana kwa moyo wangu wote nimeamua kumrudia muumba wangu kuanzia sasa mpaka kifo changu
Nikishawai kureta andiko la...
Wakuu naomba kufahamu nauli ya Kutoka Stendi kuu ya Mabasi Dodoma kwenda Ihumwa (Mji Mpya)
Ni shilingi ngapi?
Na pia nahitaji kujua Umbali wake.
Tafadhali sana nahitaji msaada wenu wakuu.
Wataalamu wa anga za juu wamefichua kwamba walinasa mawimbi ya redio ya ajabu ambayo yalikuwa yanatoka mbali sana katika anga za juu.
Mawimbi hayo yalinaswa na darubini ya kufuatilia mawimbi ya...
Maana Nimeona Hakuna Hata Update Ya kinachoendelea... Pia Hakuna Taarifa Iliyotolewa kuhusu Ratiba ya Mazishi. Kwa Anayejua Kuhusu Hilo Atuambie Jamani Ili kwasisi tulio Karibu na Hapo kigogo...
Nimeona nandike hili kwa nia njema ili wenye Makampuni ya Ulinzi walifanyie kazi kwa ajili ya Usalama wa pesa za watu.
1. Walinzi wengi wa Makampuni haya ni washkaji sana na wamezoeana na watu...
LAPF wanenipiga pesa yangu ya miezi miwili kila napowadai hawataki kunilipa fuatilia wee mpaka viatu imeisha kila siku jibu ni kesho, sasa yapata miezi nane hamna dalili ya kulipwa.
Watendaji wa...
Watu wengi wamekuwa wakisoma kwa malengo maalum. Japo wengi huchagua kusomea taaluma fulani kwa kuwa ina soko kubwa la ajira na kuwa na malipo mazuri ya mishahara.
Hakuna anayependa kusomea...
Naomba kufahamishwa vituo vya luninga radio na magazeti yanayomilikiwa na ccm na serikali je yana/yametangaza ushindi wa Felix tshisekedi kwamaana nyingine je wametangaza juu ya ushindi wa...
Habari wakuu nimekuwa nikisikia dhana ya mtu mwema kuwa ni yule anayetenda matendo mazuri yanayompendeza Mungu kila uchao vivyo hivyo dhana ya mtu mwovu ni kuwa yeye daima anatenda matendo mabaya...
Mataa ya Tazara yalikuwa yanasababisha foleni kubwa kwa barabara ta Mandela na barabara ya Nyerere zamani Pugu road.
Rais Kikwete aliamua kujengwa kwa barabara ya juu yaani fly over ambayo Rais...
Habari zenu wana JF, sipo kwa ajiri ya kukashifu dini ya mtu Ila nataka kueleweshwa juu ya haya maamkizi
Waislam wanaamkiana ASALLAM ALYEKUM
wakiwa na maana Amani ya bwana iwe nawe(nanyi) iyo...
Kijana ni nani?
Kijana ni mtu wa kike au wa kiume mwenye umri kati ya miaka 15 na 45.Hata hivyo katika dhana ya maendeleo ujana unaweza kuwa zaidi ya umri.
Maandiko matakatifu yamenena mambo...
Swali kama linavyojieleza hapo juu,hivi ni kwanini walinzi wa haya makampuni ya ulinzi huvalia sare zao maeneo ya kazi? Yaani unakuta mtu na kibegi chake kaweka sare zake akifika eneo ndio anavaa..
Nilifika ubungo saa kumi na moja alfajiri,ndani ya kituo mazingira ni mabovu,hakuna sehemu ya kupumzika abiria pindi jua au mvua inapotokea,barabara za ndani ni mbovu mashimo kibao,sijui hizi pesa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.