Kwa uzushi wa gazeti la Tanzania daima wa jana likifungiwa napo litalaumu!?

alexelias

JF-Expert Member
Sep 1, 2017
2,032
3,198
Jana lilimunukuu CAG kwamba eti amejibu kuhusu wito wa Mh Spika ilhali si kweli!

Jana baada ya kutakiwa wathibitishe wakakimbilia kuomba msamaha.Leo tena wamebadili gia angani na wamedai CAG hakumjibu Mh Spika.

Sasa hawa waandishi wasio kuwa makini na waokoteza habari za mtaani gazeti Lao likifungiwa wamlaumu nani ilhali wao ndiyo wazembe wa kutokujiridhisha na habari endapo ni ya kweli au la!?
 
Labda walimaanisha Assad mdogo yule wa Kigoma Ujiji!
 
Jana lilimunukuu CAG kwamba eti amejibu kuhusu wito wa Mh Spika ilhali si kweli!

Jana baada ya kutakiwa wathibitishe wakakimbilia kuomba msamaha.Leo tena wamebadili gia angani na wamedai CAG hakumjibu Mh Spika.

Sasa hawa waandishi wasio kuwa makini na waokoteza habari za mtaani gazeti Lao likifungiwa wamlaumu nani ilhali wao ndiyo wazembe wa kutokujiridhisha na habari endapo ni ya kweli au la!?
Sie tutaendelea kusoma gazeti letu linalosema ukweli kila siku la tanzanite chini waandishi makini kuwahi kutokea tz kilio na msiba
 
Jana lilimunukuu CAG kwamba eti amejibu kuhusu wito wa Mh Spika ilhali si kweli!

Jana baada ya kutakiwa wathibitishe wakakimbilia kuomba msamaha.Leo tena wamebadili gia angani na wamedai CAG hakumjibu Mh Spika.

Sasa hawa waandishi wasio kuwa makini na waokoteza habari za mtaani gazeti Lao likifungiwa wamlaumu nani ilhali wao ndiyo wazembe wa kutokujiridhisha na habari endapo ni ya kweli au la!?
tukisema nchi imejaa mapunguani mnatuita ufipa wakati wengine hata hatujui ni wapi? ivk ulishawahi kuona uzushi unaoandikwa na TANZANITE NA JANVI LA HABARI na madhara ya uzushi huo kwa taifa? mara ngapi ulishakemea? mara ngapi mara ngapi uhuru linaandik uzushi?
 
SPIKA VS CAG

Jana tarehe 10.01.2019 (CAG ajibu mapigo, amwacha njia panda Ndugai...)
Screenshot_20190111-105737.png

Leo tarehe 11.01.2019 (CAG Assad hajamjibu Spika Job Ndugai...)
Screenshot_20190111-105821.png
 
Nadhani mhariri alipata taarifa zisizo sahihi jana na leo akaona ni busara kuzikanusha.
 
tukisema nchi imejaa mapunguani mnatuita ufipa wakati wengine hata hatujui ni wapi? ivk ulishawahi kuona uzushi unaoandikwa na TANZANITE NA JANVI LA HABARI na madhara ya uzushi huo kwa taifa? mara ngapi ulishakemea? mara ngapi mara ngapi uhuru linaandik uzushi?
Hoja iliyopo mezani ni kuhusu gazeti la Tanzania daima.
 
Jana lilimunukuu CAG kwamba eti amejibu kuhusu wito wa Mh Spika ilhali si kweli!

Jana baada ya kutakiwa wathibitishe wakakimbilia kuomba msamaha.Leo tena wamebadili gia angani na wamedai CAG hakumjibu Mh Spika.

Sasa hawa waandishi wasio kuwa makini na waokoteza habari za mtaani gazeti Lao likifungiwa wamlaumu nani ilhali wao ndiyo wazembe wa kutokujiridhisha na habari endapo ni ya kweli au la!?

Kwanini unateseka???
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom