Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu msaada mwenye kujua kuhusu mmiliki wa hio company?
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Kuna kitu kinaitwa mizani, mizani ni kifaa cha kupimia kitu kwa vipimo vya kilo, mizani inazaa neno mizania. Mizani haitakiwi izidi upande wowote wa kile kinachopimwa. Ikizidi upande wowote kuna...
16 Reactions
53 Replies
6K Views
Wakuu habari za jumapili.. Awali ya yote napenda kuwapongeza wachezaji, kocha, benchi la ufundi uongozi mashabiki,wapenzi, wanachama wa Simba football club. Na Watanzania wote kwa ushindi wa Jana...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Naomba kufaham hii sanamu huwa inamaanisha nn? Nimewahi kuiona kwenye baadha ya nyimbo na muvi.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
SHERIA MPYA YA BOT-2018 NA WAKOPESHAJI WA BODA BODA NA BAJAJ Wakuu naomba msaada wenu kuelewa mahusiano yaliyopo kati ya hii sheria mpya ya BOT Kusimamia huduma ndogo ndogo za kifedha ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kenyan passport was ranked the most powerful in the region, followed by Tanzania’s, Uganda’s, Rwanda’s, Burundi's and South Sudan’s.The ranking comes at a time when EAC member states are...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Death is the solution to all problems. No man - no problem- Joseph Stalin One death is a tragedy; one million is a statistic-Joseph Stalin The only real power comes out of a long rifle-Joseph...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hivi karibuni kimeanzishwa kipindi cha kuukuza utalii Tanzania katika Televisheni ya Taifa, TBC. Ni wazo zuri lakini cha kushangaza ni kwamba kipindi kinachoendelea kwa sasa TBC television ya...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mmea,bangi,dawa,majani ya kondeni, msuba,shada,kiona mbali,ganja,kipipi. Nilitumia kwa muda mrefu sana lakini baada ya miaka kadhaa ikaanza kunifanya niwe najihukumu sana,hata nikimtongoza...
17 Reactions
155 Replies
17K Views
Kwa wale wanaoelewa naomba wansaidie kiandika story apo Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za humu wanajamvi, Naamini mu wazima wa Afya, leo naomba kuwashirikisha kuhusu kile ninachokiita unyanyasaji wa hawa Acacia ambao ni mshirika wa African Barrick Gold(ABG) ambao wanamiliki...
3 Reactions
27 Replies
4K Views
Siku za karibuni kumeibuka ntondo kwa askari Wa barabarani kutumia photo editor.. wanakubambika kesi huku unawatazama hata haya hawana ..mfano mwezi Dec nilikuwa nasafiri kutokea Dar kwenda Moshi...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Tafiti hupingwa kwa tafiti..kaa chini.tenga muda wako..fuatilia..watu wote wanaopenda penda kukaa ama kunywea bia counter..Mara nyingi wachoyo..ama wanataka mazoea na MTU wa counter (cashier) ili...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Hizi ndio ndege za Rais kama ulikuwa huzijui, Rais Magufuli kasema zipakwe rangi
14 Reactions
113 Replies
21K Views
Na mwandishi wetu - Chalinze Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze imechukua hatua za haraka kukabiliana na upungufu wa Vyumba vya madarasa kwa Shule za Sekondari ili kuruhusu wanafunzi wote...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimezunguka sana natafuta kazi nimekosa,nilianza na vogezo stahili kulingana na elimu yangu sijaweza fanikiwa mpaka kazi zs kibarua nazo nakosa. Nikiangalia maofisini nawakuta vijana wakike na...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Basi linalomilikiwa na Kampuni ya Arusha Express ambalo linalofanya safari zake kati ya Arusha kwenda Mbeya limepata ajali leo Januari 12, 2019 kwa kugongana na gari ndogo maeneo ya Nyang'oro njia...
0 Reactions
18 Replies
7K Views
Hawa jamaa ni Mwisho wanaishi katika maisha ambayo inasemekana ni ya Kidini Kihindu. Huamua kukata sehemu zao za siri na kuishi kama Wanawake,pia huvaa Nguo za Kike yaani Sari. Jambo la...
5 Reactions
185 Replies
25K Views
CHINA inakusudia kujenga Kituo cha Kisasa cha Kibiashara katika eneo la Stendi Kuu ya sasa ya Mabasi ya Ubungo, Dar es Salaam kuanzia mwezi huu, kikiwa na uwezo wa kukusanya shughuli zote za...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuna Mbwa nimepewa Zawadi na Rafiki yangu mmoja hivi ila nataka awe mkali kupita maelezo kiasi kwamba Mwizi akiingia ninapoishi basi amuue tu mara moja au amjeruhi vibaya sana na ikiwezekana hata...
1 Reactions
23 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…