Sanamu maarufu ya "Statue of Liberty"

Sanamu maarufu ya "Statue of Liberty"

fadtanji

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Posts
768
Reaction score
1,001
Naomba kufaham hii sanamu huwa inamaanisha nn? Nimewahi kuiona kwenye baadha ya nyimbo na muvi.
 

Attachments

  • 1478082921529.jpg
    1478082921529.jpg
    14 KB · Views: 73
Nitarudi baadae maana na mimi nahitaji kujua.
 
Nadhan maana itakuwepo, ila mm niligoogle tu...na ww unaweza fanya hivyo unaweza pata chochote kipind tunapo subiri magwiji waje hapa.
 
Minara ya babeli,ule wa paris,huu...
 
Hivi huo uliopo makutano ya samora na azikiwe unaitwaje vile?
 
Back
Top Bottom