Namna ya kuandaa tamasha / semina ya motivation speech

sonofobia

JF-Expert Member
Jun 21, 2015
947
3,644
Habari wadau

Naomba msaada wenu namna na mchakato wa kuandaa tamasha la mjadala wa hamasa kwa vijana.

Nataka kufanya hiki kitu ila sijui pakuanzia namna ya kupata kibali, wadhamini, watoa mada wazoefu na publicity ya kutosha.

Nataka kuandaa mkutano wa kuzungumzia hamasa mbali mbali toka kwa watu waliofanikiwa.

Msaada plz kwa anaejua.
 
Unataka namna ya kuwageuza vijana fursa si ndiyo hamasa gani watu wanalipia kiingilio
 
Back
Top Bottom