Tulielewana lini kwani?Si tumeelewana kipindi hiki linakuwa kule kusini mwa dunia sasa mbona kama limebaki hapa kwetu tuu!!
Hizo ni juhudi binafsi za Mheshimiwa mtukufu, naunga mkono juhudi..Jua halina chama.Si tumeelewana kipindi hiki linakuwa kule kusini mwa dunia sasa mbona kama limebaki hapa kwetu tuu!!
21st March and 23rd SeptemberEquatorial region experiemces overhead sun throughout the year.
Very good. Equinoxes. Mtoa mada anapaswa kujua kuwa kutokana na position yetu huwa tunapata jua kipindi chote cha mwaka variations ni chache sana
Yoote hii kwa hisani ya serikali sikivu ya CCMVery good. Equinoxes. Mtoa mada anapaswa kujua kuwa kutokana na position yetu huwa tunapata jua kipindi chote cha mwaka variations ni chache sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah! Shisihemu ni wanoma sana! Wameleta jua linachoma kama pasi hadi mifukoni? 😂😂😂😂Tunaishukuru sana serikali yetu kwa kutulelea jua la utosi.
CCM Oyeeeeeeee....!
Kwani huu mwezi gani? Hivi mnaelewa hayo mambo au...Very good. Equinoxes. Mtoa mada anapaswa kujua kuwa kutokana na position yetu huwa tunapata jua kipindi chote cha mwaka variations ni chache sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwezi baba huu Januari. Tarehe za equinixes tunazijua zimeshatajwa hapa...soma in context utaelewa post yangu namaanisha nini?Kwani huu mwezi gani? Hivi mnaelewa hayo mambo au...
Vingine mnawaonea