Nukuu za Dkt Medard Kalemani Leo

Mwinyi_tza

Member
Oct 9, 2018
23
5
"Mradi wa Maporomoko ya Mto Rufiji kukamilika Aprili 12, 2020, litakuwa na uwezo wa kujaza maji mita za ujazo Bilioni 35.2" Dkt. Medard Kalemani, Waziri Nishati - Januari 13, 2019.

"Tumekuja kwenye Mradi huu kukagua miundombinu wezeshi kama umeme, maji, barabara na nyumba, kabla ya kumkabidhi Mkandarasi Juni 15, 2019 ambapo anaanza ujenzi wa Bwawa" Dkt. Medard Kalemani, Waziri Nishati -
Januari 13, 2019.

"Bwawa la Rufiji ni la nne kwa ukubwa kwa Afrika na la kwanza kwa Afrika Mashariki, Duniani ni la sitini kati ya mabwawa sabini Makubwa", Dkt. Medard Kalemani, Waziri Nishati - Januari 13, 2019.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom