Ukwaju
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 13,384
- 11,286
Afande Muslim askari wako wanatutesa madereva, hivi tunapoamini wanausalama ndio watetezi wetu, kweny ajali, ujambazi wakutekwa au kutegewa magogo leo unakuja kukunjwa unavuliwa shati unaumwa meno mgongoni na bado mwingine anakushushia magumi ni haki kweli?
kuna kipindi huko Mbulu Afande Muslim umekimbiliwa na mmiliki wa Daladala kuwa dereva wake alimpitisha abiria kwa makosa ya kondakta hivyo DTO wa Katesh kamuweka ndani Kondakta (licha ya kwamba muda uleule alimkodia abiria bodaboda imrejeshe alikopitilizwa kwa kusinzia na akafanya hivyo lakini wamemuweka rumande) na daladala pia/ Bado afande ulimkatalia yule mama kuwa na tajiri angewekwa ndani.sheria Tanzania hazieleweki hasa upande wa Traffic bora enzi ya Ramadhani Mpinga, kwani kwa sasa Traffic hawaonyi tena wala kufundisha ila kukomoana unalipishwa 30,000. kwa speed ya 51 kwennye kibao cha 50km/h