Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ripoti mpya iliyotolewa na shirika la hisani la kimataifa la Oxfam, inaonyesha kuwa mabilionea 26 duniani wanamiliki utajiri ulio sawa na nusu ya binadamu maskini zaidi duniani, na kutaka matajiri...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Kutuambia tuachane na uzazi wa mpango na tufyatuane tu. Ulichukua jukumu la kuchonga madawati ukatuambia sasa kazi yako umemaliza umetuachia tutekeleze jukumu letu. Wewe mwenyewe umefanya...
12 Reactions
29 Replies
4K Views
JAMANI SAMAHANI KIDOGO NAJUA KUNA WAJUZI KIDOGO KWENYE HILI Hivi kwenye Operation za kutuliza Amani sehemu kama Kongo Au somalia chini ya UN hivi Kati JW na POLIS anaehusika zaidi ni nani? au...
0 Reactions
56 Replies
8K Views
Kanisa la TFE Kwaneema la jijini Mwanza lateketea kwa moto usiku huu majira ya saa 7:00 usiku Tunaomba ukweli wa hii habari Sent from my iPhone using JamiiForums
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Shalom Shalom. Nategemea kuja huko wikend hii. Naomba mtu anaejua maeneo yenye kanisa lenye upako anielekeze ili nikajumuike siku siku ya Jumapili. Mbarikiwe wote Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Hili shirika lilifilisika na je halikuwa na asset ama kampuni ndogo zinazojiendesha? lilikuwa chini ya wizara gani ama chini ya bandari?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimejihangaisha kutafuta maana ya 'fenti fodi' niliyoiona kwa mara ya kwanza humu JF, bila mafanikio. Mnaoelewa maana yake naomba mnielimishe. Sijisikii vizuri kuliona neno halafu nisiiijue maana...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Angalia kwa makini picha inayosemekana ya zitto
2 Reactions
66 Replies
9K Views
WAHAMIAJI haramu 35 kati ya 81 wamekamatwa wakiuza pipi, karanga na kahawa na kujifanya machinga. Akizungumza na vyombo vya habari ofisini kwake, Kaimu Afisa Uhamiaji mkoa wa Dar es Salaam...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Pole na Majukumu kiongozi wangu. Dhumuni la kukuandikia sms hii ni kutaka kukujulisha yale yanayoendelea pale gerezani stendi ya mabasi. Pale kuna zoezi la ukamataji kwa wale watu ambao...
13 Reactions
27 Replies
4K Views
Habari za leo ninaomba mnisaidie mawasiliano ya Mh Kang Lugola natanguliza shukrani Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Habar za wikienda wana-jamvi! Mda huu nipo kwenye gari naelekea makongo. Ghafla nimepitiwa na wazo ambalo kwa jinsi flan nahis sio zuri ku share. Lakin nikaona wazo hili pia linaweza likawa...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Ni kocha mzuri Lakini kuna baadhi ya misimamo yake ina walakini bado hajachelewa kuitafakari kwa faida yake na Mpira wa Yanga Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Ukiona mwanaume anapenda sana mtoto wake ujue alikuwa mpiga puri sana na alikuwa hana uwezo wa kutongoza wanawake ili wa mzalie pia katika mausinao yake yote aliyopitia hakuna mwanamke aliye kuwa...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Elliott Harris, Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia masuala ya ukuaji wa uchumi duniani amesema kuwa, ingawa tathmini zinaonesha kuwa, dunia iko katika mkondo wa kushuhudia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nafungua page ya kwanza, then naruka page ya tatu then naruka page ya sita, then 12 then nafungua last page. Labda kama ni mada ya moto sana ndo naweza kwenda 1,2,3 4... Mwenzangu huwa unasomaje..
4 Reactions
60 Replies
4K Views
Katika harakati za kuokoa uchumi wa taifa hili masikini, vijana wa kiume ambao wananguvu za kufanya kazi za uzalishaji mali (Bidhaa na huduma) wapigwe kabisa marufuku kupoteza muda, akili na nguvu...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Basi la Kampuni ya Burdan Tosha ambalo linalofanya safari zake Dar es salaam kwenda Tanga, na Basi la Kampuni ya BM Coach linalofanya safari zake Dar es salaam na Arusha yamepata ajali ya...
2 Reactions
35 Replies
14K Views
Mfanyabiashara maarufu nchini Kenya anayejiusisha na biashara ya madini katika mikoa ya manyara na Arusha pia ni wakili wa kujitegemea, Raymond Nyange ngoo mwenye miaka 37 mkazi wa Moshono Jijini...
1 Reactions
9 Replies
5K Views
Tembo waliovamja mashamba na kula mazao yote, wamewafanya wanakijiji cha Mangae, Wilayani Mvomero, Mkoa wa Morogoro, kuhofia kukumbwa na baa la njaa. Mwenyekiti wa Kijiji hicho, Patrick Joseph...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Back
Top Bottom