KATIKA ndoa za siku hizi, wakati mwanaume na mwanamke wakikutana na kukubaliana kuoana, utadhani hakuna jambo baya linaloweza kutokea kati yao miaka kadhaa baadaye, Uwazi lina kisa cha...
Habari wana JF:
Nikiwa nipo darasa la 7 nilianza kujiwekea akiba hii njia niliipenda sana kwani imesaidia sana kujiweka huru ki-fedha
Ndani ya mwaka 2015 nimefanikiwa kufungua Duka maeneo ya...
Ubaguzi ni kitu kibaya, ila hawa watu weupe (hasa waarabu, wazungu na kadhalika), kwao ubaguzi ni kama desturi.
Watu weupe wao sijajua wanajionaje, na sisi weusi wanatuonaje pia!
Ubaguzi A to...
Msaidizi wa Asikofu Malasusa: ameongea kitu cha mbolea sana katika watumishi wote walioalikwa na muheshimiwa Rais leo ,
Mvua nyingi sana zinazonyesha nchi hii tungeweka BWAWA KUBWA KILA WILAYA na...
Wakazi wa maeneo ya Masaki jijini Dar es Salaam wanatakiwa kubomoa majengo yao waliyojenga kwenye hifadhi ya barabara kabla hawajaondolewa kwa nguvu.
Miongoni mwa maeneo maarufu yatakayobomolewa...
Tanzania Tunafeli Wapi, Mbona tunakaa nyuma nyuma sana.
Nipo Switzerland nimepeta Nafasi ya kuhudhuria
World Economic Forum Annual Meeting
Huu ni mkutano mkubwa Sana na nchi zote kubwa duniani...
Mzuqa
Nilikuwa nashusha zangu mida ya jioni kurudi Geto baada ya kumsabahi rafiki yangu Chuwa alipata ajali ya bodaboda.
Nilipofika njia panda ya kwa lemaaa na maprososo ghafla nikakutana na...
Habari za asubuhi wadau wa jamii forums.
Hongereni kwa majukumu mbalimbali kulingana na nafasi ya kila mmoja wetu humu jukwaani.
Leo nawaletea huu uzi ukisemekana kwa jina la "a thread of fake...
MAPENZI ya sasa yamejaa sarakasi nyingi sana, kwa yule aliyebahatika kuingia kwenye uhusiano anatakiwa kuwa makini kuhakikisha mapenzi hayamtibulii maisha yake.
Yapo mambo mengi ya kuwa nayo...
Umeme wa maji sio teknolojia mpya. Ilishafanyika siku nyingi tu hapa na mahali pengine duniani. Uchafuzi wa mazingira ni kitu kisichoepukika (kuna kipindi tuliambiwa bwawa la Mtera limejaa udongo...
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro,Judethadeus Mboya na aliyekuwa Mwanasheria wa Halmashauri hiyo,Andrew Gregory ,wamefikishwa mahakamani mjini Moshi...
PAMBEEEE shoga wanakwambia ukimuona ngedere mjini basi ujue ana mwenyewe ati! Wareee reeeeee! Maskini hana mpambe na mjini hulali njaa ila utachelewa kula, upo nyonyo?
Shoga kichaa hajipeleki...
Kama mada inavyojieleza
Mimi nimeajiriwa katika taasisi fulani ya kutoa elimu(Chuo) kama principal
Sasa huyu mmiliki wa hii taasisi kampa secretary wetu binti flani majukumu yote ya kupokea...
Miiko na Mila za mababu waliziweka baada ya uchunguzi Mkubwa!
Miiko ya kimila imegeuka tiba kubwa kwaa watu ambao wanaiabudu hadi Leo!
Katika ukuaji Wa mtoto; kuanzia umri wa miaka 4-5 Meno...
Tuliambiwa hizo ni nje ya mkataba, na zitakuwa zinatolewa kila mwezi kwa miaka mitano.
Au hesabu zimegoma, siku ile walipiga hesabu za kichwa tukaambiwa bilioni mbili point mbili kwa chenji ya...
SERIKALI ya Tanzania imetiliana saini mkataba wa Mradi wa Ujenzi wa Daraja la Gerezani, Dar es Salaam na Japan kupitia shirika la lake la Maendeleo (JICA), ambao unatarajiwa kukamilika ndani ya...
Nadhani wahusika wa TBS wako humu jamvini
Napenda sana maji ya Afya ila leo asubuhi nilinunua maji kampuni ya Afya katika duka moja tandika, nilianza kuyatilia mashaka kabla sijayanywa kutokana...
Dini mashuhuri zimeanzia
UYAHUDI - UKristo na Judaism
uARABUNI - Uislam
INDIA NA CHINA - Wabudha na wahindu.
Hadi sasa hakuna dini maarufu iliyoanzia Ulaya, Amerika au Afrika hasa Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.