Ni polisi au mwanajeshi?

Ni polisi au mwanajeshi?

dimatteo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2018
Posts
868
Reaction score
935
JAMANI SAMAHANI KIDOGO NAJUA KUNA WAJUZI KIDOGO KWENYE HILI Hivi kwenye Operation za kutuliza Amani sehemu kama Kongo Au somalia chini ya UN hivi Kati JW na POLIS anaehusika zaidi ni nani? au wanahusika wote kila mmoja na sekta yake au anae husika ni mmoja then mwingine hausiki???....please mwnye uelewa naomba mnijibu..[emoji120][emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa wanatumika wote .
Sema jeshi linatumika maeneo yenye vita zaidi.
Na police wanatumika zaidi katika maswala ya utawala .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uliwahi kusikia polisi wanalinda amani kupitia UN au unaongelea Interpol?

Polisi hawa uwapeleke Kongo wasivyokuwa waadilifu si watauza hata viatu vyao watembee peku mbugani.
Ngoja Polisi waje wakutolee mapovu lkn nakuomba usinisemee kuwa mimi ndiye niliyekushtakia kwa hao Ma-poti[emoji850]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JAMANI SAMAHANI KIDOGO NAJUA KUNA WAJUZI KIDOGO KWENYE HILI Hivi kwenye Operation za kutuliza Amani sehemu kama Kongo Au somalia chini ya UN hivi Kati JW na POLIS anaehusika zaidi ni nani? au wanahusika wote kila mmoja na sekta yake au anae husika ni mmoja then mwingine hausiki???....please mwnye uelewa naomba mnijibu..[emoji120][emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye kutuliza amani sijui ila kulinda amani wote huwa wanaenda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toka enzi za JK.POLISI,JU,zimamoto,uhamiaji wote wana pita JKT kwanza ndio waende huko.
Sasa huko kujiona bora sijui kunatokana na nini wakati wote wako sawa tofauti ni jezi na majukum tu.
 
Back
Top Bottom