Nimejihangaisha kutafuta maana ya 'fenti fodi' niliyoiona kwa mara ya kwanza humu JF, bila mafanikio. Mnaoelewa maana yake naomba mnielimishe. Sijisikii vizuri kuliona neno halafu nisiiijue maana yake muda wote huu.
Nkyambe unaijua kazi ya mifuko ya sandarusi?Nimejihangaisha kutafuta maana ya 'fenti fodi' niliyoiona kwa mara ya kwanza humu JF, bila mafanikio. Mnaoelewa maana yake naomba mnielimishe. Sijisikii vizuri kuliona neno halafu nisiiijue maana yake muda wote huu.