K kastro JF-Expert Member Joined Oct 28, 2018 Posts 1,011 Reaction score 631 Jan 22, 2019 #1 Ni kocha mzuri Lakini kuna baadhi ya misimamo yake ina walakini bado hajachelewa kuitafakari kwa faida yake na Mpira wa Yanga Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kocha mzuri Lakini kuna baadhi ya misimamo yake ina walakini bado hajachelewa kuitafakari kwa faida yake na Mpira wa Yanga Sent using Jamii Forums mobile app
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,367 Reaction score 55,055 Jan 22, 2019 #2 Si mlimkataa Beno kwa sababu ya mauno ya Kindoki sasa subirini matokeo mengine ya kufurahisha.
NYANYADO JF-Expert Member Joined Jan 8, 2013 Posts 3,848 Reaction score 2,558 Jan 22, 2019 #3 Watu wana njaa yeye analeta kazi kunoga. Wachezaji wapewe Stahiki zao na wao wana familia