FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 41,026
- 47,146
Katika harakati za kuokoa uchumi wa taifa hili masikini, vijana wa kiume ambao wananguvu za kufanya kazi za uzalishaji mali (Bidhaa na huduma) wapigwe kabisa marufuku kupoteza muda, akili na nguvu zao 'kusuka mikeka' hewa ambayo kimsingi kabisa (kwa muelewa) haina input yoyote ile (absolutely) kwenye uchumi wa taifa hili lililo ICU.
WAY FOWARD: Kuanzia leo, watakao ruhusiwa kupoteza muda,akili na nguvu kwenye 'hobby' hii ni wafuatao tu:-
1.) Wasichana na wanawake wenye zaidi ya miaka 55.
2.) Raia wenye ulemavu wa zaidi ya 80%.
3.) Ongezea (tusaidiane)