Kwahiili Rais Magufuli ninakupongeza

Kwahiili Rais Magufuli ninakupongeza

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,438
Kutuambia tuachane na uzazi wa mpango na tufyatuane tu. Ulichukua jukumu la kuchonga madawati ukatuambia sasa kazi yako umemaliza umetuachia tutekeleze jukumu letu.

Wewe mwenyewe umefanya demonstration kwa wale ambao hawakuelewa maana ya kufyatuana.

Sasa hivi baba dunia nzima inafahamu kuwa Tanzania is growing fast demographically.

Kwa hili baba umefanikiwa 100% na tunatembea vifua mbele kutekeleza tamko.

Wale wanafunzi wanaopata mimba za utotoni baba usiwaadhibu, ni katika kukatika kwa mawasiliano kati ya kutii tamko na kuwa raia wema kuna mahali maagizo hayakufika kama ulivyokusudia lakini walitekeleza tamko.
 
Mi nalipinga, kusema "watu wa fyatuane" kwasababu elimu ni bure. Wakati sekta ya AFYA na sekta ya CHAKULA bado ni kitendawili kisichokua na majibu nchini, ni sawa na kuchochea kuni za GONJWA LA UKIMWI na ongezeko la WATOTO WASIOKUA NA WAZAZI (Ukimwi na Umasikini utakua kwa kasi ya SGR au 4G).

Wakulima bado wana weweseka na kilimo, wafugaji nao ni janga. Ajira kwa vijana ni kizaazaa. Tanzania bado sana kwenye mambo muhimu hatujaweza kukabiliana nayo.

TAFAKARI; Yeye anasema tufyatuane kwasababu elimu ni bure, je atakaekuja baada yake akibadilisha sera na kurudisha ADA/FEES mashuleni???? Watoto tuliowafyatua katika UONGOZI wake atakubali kuwapokea tukimpelekea kule CHATO atusaidie kuwalipia ADA????

#Elimu, Afya, Chakula, Ajira na Vita dhidi ya ukimwi.
 
Kutuambia tuachane na uzazi wa mpango na tufyatuane tu. Ulichukua jukumu la kuchonga madawati ukatuambia sasa kazi yako umemaliza umetuachia tutekeleze jukumu letu.

Wewe mwenyewe umefanya demonstration kwa wale ambao hawakuelewa maana ya kufyatuana.

Sasa hivi baba dunia nzima inafahamu kuwa Tanzania is growing fast demographically.

Kwa hili baba umefanikiwa 100% na tunatembea vifua mbele kutekeleza tamko.
"Wewe mwenyewe umefanya demonstration kwa wale ambao hawakuelewa maana ya kufyatuana"
Ki vip? Tufafanulie kidogo.......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nalipinga, kusema "watu wa fyatuane" kwasababu elimu ni bure. Wakati sekta ya AFYA na sekta ya CHAKULA bado ni kitendawili kisichokua na majibu nchini, ni sawa na kuchochea kuni za GONJWA LA UKIMWI na ongezeko la WATOTO WASIOKUA NA WAZAZI (Ukimwi na Umasikini utakua kwa kasi ya SGR au 4G).

Wakulima bado wana weweseka na kilimo, wafugaji nao ni janga. Ajira kwa vijana ni kizaazaa. Tanzania bado sana kwenye mambo muhimu hatujaweza kukabiliana nayo.

TAFAKARI; Yeye anasema tufyatuane kwasababu elimu ni bure, je atakaekuja baada yake akibadilisha sera na kurudisha ADA/FEES mashuleni???? Watoto tuliowafyatua katika UONGOZI wake atakubali kuwapokea tukimpelekea kule CHATO atusaidie kuwalipia ADA????

#Elimu, Afya, Chakula, Ajira na Vita dhidi ya ukimwi.
Hata angesema marufuku kuzaliana au mwisho watoto wawili tu mngeibua hoja..mngesema anaingilia privacy za watu..mngesema anavunja katiba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kutuambia tuachane na uzazi wa mpango na tufyatuane tu. Ulichukua jukumu la kuchonga madawati ukatuambia sasa kazi yako umemaliza umetuachia tutekeleze jukumu letu.

Wewe mwenyewe umefanya demonstration kwa wale ambao hawakuelewa maana ya kufyatuana.

Sasa hivi baba dunia nzima inafahamu kuwa Tanzania is growing fast demographically.

Kwa hili baba umefanikiwa 100% na tunatembea vifua mbele kutekeleza tamko.

🙄 😀😀😀
 
Mi nalipinga, kusema "watu wa fyatuane" kwasababu elimu ni bure. Wakati sekta ya AFYA na sekta ya CHAKULA bado ni kitendawili kisichokua na majibu nchini, ni sawa na kuchochea kuni za GONJWA LA UKIMWI na ongezeko la WATOTO WASIOKUA NA WAZAZI (Ukimwi na Umasikini utakua kwa kasi ya SGR au 4G).

Wakulima bado wana weweseka na kilimo, wafugaji nao ni janga. Ajira kwa vijana ni kizaazaa. Tanzania bado sana kwenye mambo muhimu hatujaweza kukabiliana nayo.

TAFAKARI; Yeye anasema tufyatuane kwasababu elimu ni bure, je atakaekuja baada yake akibadilisha sera na kurudisha ADA/FEES mashuleni???? Watoto tuliowafyatua katika UONGOZI wake atakubali kuwapokea tukimpelekea kule CHATO atusaidie kuwalipia ADA????

#Elimu, Afya, Chakula, Ajira na Vita dhidi ya ukimwi.

hivi umeielewa topic.lol
 
Kutuambia tuachane na uzazi wa mpango na tufyatuane tu. Ulichukua jukumu la kuchonga madawati ukatuambia sasa kazi yako umemaliza umetuachia tutekeleze jukumu letu.

Wewe mwenyewe umefanya demonstration kwa wale ambao hawakuelewa maana ya kufyatuana.

Sasa hivi baba dunia nzima inafahamu kuwa Tanzania is growing fast demographically.

Kwa hili baba umefanikiwa 100% na tunatembea vifua mbele kutekeleza tamko.
Hahaha!!
 
Muda huo huo mwanasheria mkuu wa kambi ya upinzani anasema yeye yupo Tayari kabisa kuhalalisha ushoga hapa Tanzania.
 
Usimlishe maneno wakati dunia nzima inafahamu mnadhimi mkuu wa kambi ya upinzani alimwambia risasi 38
 
Wameanza kuongea lugha tofauti mkikutana mnajitoa ufahamu ukikaa peke yako akili zinakurudia!
 
Hahaa " hizi code nyingine hizi. Naona una mnanga jiwe kijanja ..
..
Kwamba ameruhusu watu wafyatuane halafu hapo hapo ametoa katazo kwa watoto wakike (wanafunzi) wasiendelee na masomo pindi watakapo kuwa na mimba ...

Daah kweli mtu akikuita jiwe pigana "

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu madawati aligawa nchi nzima? Huko Moro kuna shule watoto wanakaa chini na majengo ukiona unatamani kulia mabovu hatari lakini vyumba viwili tu shule zima. Tema mate chini kwa uongo huo

2015 baada ya uchaguzi ilikuwa ni jukumu la kila mkuu wa wilaya kuhakikisha shule zina madawati
 
Back
Top Bottom