Jinsi navyosoma nyuzi za JF

Jinsi navyosoma nyuzi za JF

Nafungua page ya kwanza, then naruka page ya tatu then naruka page ya sita, then 12 then nafungua last page. Labda kama ni mada ya moto sana ndo naweza kwenda 1,2,3 4...
Mwenzangu huwa unasomaje..
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Hii tabia huwa naitumia.

Pia huwa nasoma uzi wote kama haujawa mrefu sana. Ila ukiwa mrefu nafanya kama wewe.

Au huwa natafuta mtu wa kumquote ili tuanzishe majibizano endapo akianza kuniquote pia.
 
Ha haaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom