The only living plato in Tanzania

The only living plato in Tanzania

retweeted

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2016
Posts
1,339
Reaction score
920
Ukiona mwanaume anapenda sana mtoto wake ujue alikuwa mpiga puri sana na alikuwa hana uwezo wa kutongoza wanawake ili wa mzalie pia katika mausinao yake yote aliyopitia hakuna mwanamke aliye kuwa ana mwelewa kabisa. Yani wanawake walikuwa wana mchukulia poa tu.
Sasa kwa upande wa wanawake.. Ukiona jinsia ya kike inampenda sana mtoto wake kwanza huwa haamini kama alipewa mimba na huyo mwanaume pili ashatendwa sana na wanaume vya kutosha sasa akipata cha kupata huganda hadi mwanaume ampe mimba..
Short research by only one ze living plato in Tanzania [emoji1241]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika utafiki wako, uhalisia uko hivi;
Kwa wanawake ukweli 48%
Kwa wanaume ukweli 22%
 
Ukiona mwanaume anapenda sana mtoto wake ujue alikuwa mpiga puri sana na alikuwa hana uwezo wa kutongoza wanawake ili wa mzalie pia katika mausinao yake yote aliyopitia hakuna mwanamke aliye kuwa ana mwelewa kabisa. Yani wanawake walikuwa wana mchukulia poa tu.
Sasa kwa upande wa wanawake.. Ukiona jinsia ya kike inampenda sana mtoto wake kwanza huwa haamini kama alipewa mimba na huyo mwanaume pili ashatendwa sana na wanaume vya kutosha sasa akipata cha kupata huganda hadi mwanaume ampe mimba..
Short research by only one ze living plato in Tanzania [emoji1241]

Sent using Jamii Forums mobile app
Research umefanyia kwako kwa kujiangalia wewe mwenyewe then ume conclude kwa wote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom