Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari wakuu..? Wakat nafikiria hekaheka za kuachana na kuminyana kwenye mwendokasi, Kuna jamaa anataka kuniuzia premio new model yenye namba DA... kwa shillingi million 7. Nipo najifikiria kwa...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Leo mahakama imetoa hukumu ya rufaa aliyokataa Michael Richard Wambura juu ya kufungiwa kwake na kamati ya maadili ya Tff.Mahakama imetoa pingamizi hilo na kumrudisha Wambura kwenye nafasi yake ya...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
" Kitendo alichofanyiwa Mhe. Zitto Z. Kabwe leo Bungeni na Afisa wa TISS, ni cha uadui, ni cha hatari na cha aibu kwa Idara ya Usalama wa Taifa. Adhabu ya kufanya fujo Bungeni haiwezi kuwa kifo na...
27 Reactions
240 Replies
28K Views
Hivi karibuni Waziri wa Tamisemi, Selemani Jafo, akiwa kwenye ziara ya Makamu wa Rais Wilayani Simanjiro, alielekeza uongozi wa wilaya ya Simanjiro kuanza ujenzi wa hospitali ya Wilaya. Agizo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Waungwana hiki ndio kipindi utasikia SASA RUKSA KUUZA MAHINDI NJE,pia utasikia BAA ZIFUNGULIWE MASAA 24,mara RAIS AONDOA KIKOKOTOO,pia ASKARI MARUFUKU KUKAMATA BODABODA BILA YUNIFOM,tena,DHAMANA...
4 Reactions
16 Replies
3K Views
Wafugaji kutoka mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara wamefanya maandamano ya amani Mjini Babati Mkoa wa Manyara kumuunga mkono Rais John Magufuli kuhusu uamuzi alioutoa hivi karibuni juu haki...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Salaam Wadau, Moja ya mambo magumu kwangu binafsi imekuwa ni katika kuchagua na kufanya maamuzi magumu yenye faida kwangu. Nimekuwa mtu wa kupenda kushirikisha wengine kunishauri bila shaka...
1 Reactions
6 Replies
6K Views
NAIBU Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ameridhia kutimuliwa kwa mkandarasi wa Kampuni ya Mazongela Building Construction, ambaye alipewa kazi ya kujenga tangi la maji la mradi wa Kijiji cha Boga na...
0 Reactions
1 Replies
714 Views
MKAZI wa Kijiji cha Busale Kata ya Busale wilayani Kyela mkoani Mbeya, Zawadi Daudi ( 41), anadaiwa kuua mkewe, Hawa Kamwela (32), kwa kumcharanga kwa panga kwa madai kuwa anamlazimisha kumpeleka...
1 Reactions
24 Replies
5K Views
Hili limejidhihirisha Jana wakati Rais alipokuwa akiongoea na wadau wa sekta ya madini, ya kwamba kuna kutawala na kuongoza . kiongozi unapokaa na raia na viongozi pamoja katika kujadili maisha na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Watanzania wataanza kulipa gharama kubwa zaidi ili kupata huduma za benki baada ya taasisi hizo za fedha kupandisha ada ya huduma kwa hadi asilimia 50 , hii ni kuanzia february mosi Hali hiyo...
1 Reactions
15 Replies
48K Views
guest-1793102819
Kama Serikali inafuatilia elimu kwa kina na pasipo ubaguzi hii shule ya Must Lead iliyopo Msata Masuguru ina nyanyasa sana sisi wazazi Kuna mtu anaitwa ticha ndege na somebody madam Anna...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Habari mbaya Taifa huru la Burundi linaloanza wiki nazo ni kwamba rais wa nchi hiyo Pierre Nkuruzinza amepitishwa rasmi kuwa rais wa kudumu kudumu na mwenyekiti wa milele wa chama tawala Sitaki...
24 Reactions
134 Replies
14K Views
Credited by, Remez Sasson Mind power is one of the strongest and most useful powers you possess. This power consists of your thoughts. The thoughts that pass through your mind are responsible...
2 Reactions
6 Replies
4K Views
Tendaguru ni eneo linalopatikana katika Wilaya ya Lindi Vijijini, takriban kilomita 60 kaskazini magharibi mwa mji wa Lindi. Tendaguru au Tendeguru ni neno la Kimwera, likiwa na maana ya kilima...
9 Reactions
20 Replies
5K Views
Inaonekana pagan tumetengwa na uwepo wetu hautambuliki kabisa, najitahidi kuangalia mkutano wa viongozi wa dini na Mh.Rais huenda nikamwona mwakilishi wetu lakini mpka muda huu sijabahatika...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
https://www.youtube.com/watch?v=t1ngZRKjJ6s Mbinu mojawapo ya Sacker ktk Hard Talk ni kuwa 'devil's advocate' (au kama tunavyopenda kusema kti TAMASHA 'mpishi mbishi'. Yaani atatoa hoja za...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
JE WAJUA KUENDESHA GARI SPIDI NDOGO NALO NI KOSA KISHERIA. Na Bashir Yakub. + 255784482959. Wapo watu wanaojua kuwa kuendesha gari kwa mwendo mdogo ndio ustaarabu na ndio jambo zuri...
7 Reactions
8 Replies
4K Views
Habari waJF moja kwa moja niende kwenye mada ya jinsi athari za matumizi mabaya ya mitandao yanavyoweza kukukosesha fursa. Vijana tulio wengi tunakosa ajira au fursa mara nyingine kila unapoitwa...
5 Reactions
35 Replies
2K Views
Back
Top Bottom