TAASISI ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) imeibuka kinara kwenye hospitali za moyo barani Afrika kwa kufanya idadi kubwa ya upasuaji wa moyo . Mwaka jana imewafanyia upasuaji wagonjwa 1,356. Hayo...
Elon Musk(Generslist scientist).Mtu pekee aliepuuza dhana ya ubobezi au umaalumu(Specislizaton ) Huyu jamaa amejifunza kila kitu on Earth! Hakuna asichokijua.
Kinachonifurahisha zaidi ni mzaliwa...
Kanisa la Advestista Wasabato mjini Shinyanga, limewataka waumini mjini humo, kukagua fedha zao wanazozitoa kwa ajili ya sadaka ili kuhakikisha, kujiridhisha kwamba hawamtolei Mungu fedha bandia...
Majuzi mto Mkondoa umepita juu ya daraja pale Dumila.
Hii si mara ya kwanza, kama sikosei ni karibia ya nne hivi.
Na mara zote tuta la barabara linachukuliwa.
Kina cha mto kwa sasa hivi ni mita...
Nilibahatika kufika Nssf Ubungo plaza. Kiukweli Hali no mbaya Sana kwa wateja halafu kwanini sekta hi mfanyakazi anapokuja kudai mafao yake anaonekan Kama ni ombaomba fulani.
Nadhani Kuna haha ya...
Na Mwandishi wetu, Mihambwe
Michezo ya Pool table, sehemu wanazouza vilevi, michezo ya Bonanza na mabanda ya video yamepigwa marufuku kufunguliwa saa za Kazi na Watoto chini ya miaka 18 kukatazwa...
Watu wenye utajiri wa kupindukia ndio wanaolipa ushuru wa chini zaidi duniani, ripoti iliyotolewa na shirika la Oxfam imesema.
“Idadi ya mabilionea imeongezeka licha ya mfumuko wa bei huku mapato...
Salaam.
Wakuu nimenunua umeme wa kutoka cellcom. Sasa zile namba za luku hazionekani vizuri na aliyeniuzia anadai zike kumbukumbu namba huwa zinapotea pindi anapotoa recept nyingine. Sasa wakuu...
1. Frank
2. George
3. Kelvin
4. Alex
5. Samuel
6. Dominic
7. Richard
badala ya kila Siku tu kuyasikia haya Majina ya akina:
1. Athumani
2. Mohammed
3. Kassim
4. Suleiman
5. Abdallah
6. Issa
7...
Stress ni pale unapokomaa kumridhisha demu wako uliemtoa bikra kwa nguvu zote, ujuzi na ufundi wa ziada, kisha anakutizama tu wala huskii akitoa miguno ya raha, vilio vya kuashiria kuwa dushe...
Leo nimefika ofisi za Nssf shinyanga kupata majibu ya dana dana za njoo kesho, baada ya kusotea mafao yangu kwa muda mrefu kilichotokea ni kwamba wametoa asilimia 33% ya basic salary yako ya...
Mimi ni mmoja wa Wanafunzi katika chuo hiki ambacho baadhi ya Wakufunzi wanajituma sana kuhakikisha tunapata elimu bora juu ya fani ya tiba.Tunawapongeza kwa hili.
Hiki chuo kiko chini ya Wizara...
Wale Town Solute,
Hii hapa Toyota harrier model 2009
1.Hii tutaaita namba moja yenye Gover ya rangi nyeupe
2.Na hii namba mbili ina Gover ya rangi nyekundu
IPI nzuri na yenye muonekano wa...
China kuna Taasisi inayojulikana kwa jina "The Government Property Agency" GPA anayejua kazi mahusus za taasisi hii msaada please!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari?
Fikiria unafanya kazi mahali fulani, labda unalipwa chini ya 700K kwa mwezi na huna mkataba na hao waajiri japo una zaidi ya mwaka kazini, kitu ambacho si salama sana kwako, na waajiri...
Ndugu wadau wa Ughaibuni na Bongo,
Ni matumaini yangu mpo salama na mna enjoy spring season hasa kwa wale wenzangu tulio kenye ukanda wa baridi.
Nilikuwa napenda kujua kama kuna mwenye this...
Awali ya yote nipende kuwasalimu
Nyote kwa jina la yule aliye juu awajalie afya njema
Lengo la kuanzisha uzi huu Ni kutafakari akili za hawa watu
Mtu mrefu sana kupita kiasi
Mfupi kupita kiasi...
Naibu spika wa bunge na mkuu wa taasisi ya Tulia trust ana zidi kufanya shughuli muhimu za kijamii mkoani mbeya...
wakazi wa mbeya mmependelewa sana hii fursa msiache iwa pite... wengine wana...
Wasalaam,
Katika harakati zangu za kulisaka tonge kwenye kazi zangu hizi za ujenzi nimejikuta nikifanya kazi kama local fundi baada ya Serikali kubadili mifumo yake.
Twende katika hoja yenyewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.