WATU watano mkoani Kagera wamefariki dunia katika matukio tofauti wakiwamo wanandoa wawili huku mwingine akiuawa kwa kuchinjwa shingo na sehemu mbalimbali za mwili wake kisha kuchomwa moto...
MTOTO Ibrahim Joseph mwenye umri wa miezi minne, amefariki dunia baada ya kung’atwa na panya mara tatu katika mguu wake wa kushoto akiwa amelala usiku na mama yake mzazi,Veronica Haule. Tukio...
Habari wakuu!
Kweny mabosi iwe bosi ofisini au hata bosi wa houseboy au housegirl! NAtaka kujua hivi kwanini mnafanyaga hivi? Na huwa mnajisikiaje kufanya hivi?
Unakuta mtu ana nafasi ya kazi au...
Ni ile mikutano ya Wadau/wachimbaji wa Madini na Viongozi wa dini ,Rais pamoja na viongozi wa serikali
Ni mijadala iliokua wazi,hoja/kero za papo kwa papo,ushauri na taarifa za mambo Mengi sehemu...
Published by SemaTanzania
Kila mmoja wetu ni shahidi kwamba mabadiliko ya teknolojia yameleta athari hasi na chanya katika nyanja tofauti za maisha ya kila siku ya mwanadamu. Katika mabadiliko...
"NAFASI YA KAZI MWALIMU WA PHYSICS NA CHEMISTRY - ENGLISH NA KISWAHILI TUMA CV NA VYETI HAPA gilisecondary@gmail.com"
Changamkieni fursa wakuu,
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza samahani kwa usumbufu ila nimeulizwa swali niweze kutoa ushauri kwa mchumba wangu nimekosa jibu nikaona nikimbilie uku kuomba ujuzi.
Ni hivi nina mchumba wangu amemaliza chuo mwaka wa pili...
Mtume Muhhamad S.A.W aliwahi kusema Habbat Sawda inatibu magonjwa yote isipokuwa KIFO tu, na siku zote maneno ya mitume huwa ni Wahyi, hawaongei wenyewe bali wanaongea kutokana na maelekezo...
Wadau wanao tumia king’amuzi cha continental ambacho kinamilikiwa na sahara (mzee Dialo) nitoe malalamiko yangu kwa kupuuzwa leo siku ya tano tangia mtoke hewani na hamna maelezo yakinifu kwa...
Mara nyingi maishani huwa tunafikia point ya kujihisi kuishiwa nguvu kabisa, hasa pale mambo yanapoonekana kugoma kwenda licha ya Juhudi tunazo Fanya. Hii hupelekea moyo kushuka na wengine...
" UDSM / UDASA walia njaa, maisha magumu huku wakiidai Serikali Kiasi cha Shilingi za Kitanzania Bilioni 12 "
Binafsi kama GENTAMYCINE nitafurahi sana msipolipwa ili ' mkome ' na Siku zingine...
Siku moja majira ya saa moja usiku wakati giza ndo linachukua utawala mtaani kwetu kulisikika kelele "mwizi!! mwizi!!! mwizi!!!" .
Watu tuliposogeza mguu kwa harakahara ili tukampe adabu mwizi...
Sio vibaya kusheherekea siku yako ya kuzaliwa endapo tu huvunji sheria ya nchi yeyote!
Ila ukakasi unapokuja ni pale mwanaume unapokubali kumwagiwa maji,matope,pombe halafu wewe umetulia tu...
sitaki sana kuongelea la crew yenu kufanya show mbovu ya kuweka cd na kulazimisha crowd iimbe kama mlivyozoea huku tz maan huwa inawekwa cd mnatokea jukwaani mnashangiliwa,mnarukaruka mnakata...
Nimepotelewa na ATM card ya benki jioni ya tar 23/01/2019 naombeni msaada wenu nini nifanye nisije ibiwa pesa zangu,nini nifanye ili nipewe kadi nyingine?
Kwa anayefahamu utaratibu msaada...
Ni miongoni mwa misemo ya kiswahili ( Metheli) ya wahenga sina uhakika kama karne hii yupo alie kuwapo kabla ya ujio wa methali hii nimefundishwa darasani kwa levo zote za elimu yangu na pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.