Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,987
- 36,095
Mtume Muhhamad S.A.W aliwahi kusema Habbat Sawda inatibu magonjwa yote isipokuwa KIFO tu, na siku zote maneno ya mitume huwa ni Wahyi, hawaongei wenyewe bali wanaongea kutokana na maelekezo waliyopewa na Mwenyezi Mungu mwenyewe au Mwenyezi Mungu kupitia malaika wake haswa Malaika Jibril ambaye kwa kiasi kikubwa ndiye aliyekuwa mwalimu mkuu wa mtume Muhammad S.A.W.
Kwa hiyo mpaka hapa ninaweza kusema wanasayansi au madaktari ambao wanasumbuka kupata tiba ya UKIMWI waanzie kwanza hapa kwa Habbat Sawda ,wajue wachanganye nini na nini wapate dawa bora zaidi ,ila kuna uwezekano mkubwa pia mchanganyiko wa Habbat Sawda na Asali ukatoa tiba Mujarab kabisa.
Sina mengi ya kusema ila nina amini Habbat Sawda inatibu Ukimwi kulingana na maneno ya mtume wetu Muhammad S.A.W.
Sent using Jamii Forums mobile app