Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

1. Kujua ni vitu gani utakavyokuwa unafanya na hela yako/kujua matumizi ya pesa unapojua utaipata 2. Kuacha matumizi/manunuzi yasiyo ya lazima mf. kunywa soda/bia nyingi kwa siku na kutoa ofa...
15 Reactions
72 Replies
24K Views
Habarini zenu! Leo ninakuja na kero nimeivumilia sana, sijui kama wengine inawakera au ndio kawaida. Tabia ya kuombana hela ili hali na wewe umeajiriwa kama mimi. Nimeiona hii pale ninapoenda...
15 Reactions
126 Replies
10K Views
Jeraha la meno la dereva aliyeumwa na trafiki.
9 Reactions
173 Replies
70K Views
Bhana Mzee mkuu wetu wa Mkoa wa Dar es Salaam liko tatizo kubwa wakazi wa Dar es Salaam ambalo linahitaji kauli yako kwakuwa linaonekana kama la kiimani zaidi. Ni lakiimani lakini linaathiri afya...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ninachokiona baada ya mikutano hii,ni mijadala yenye itikadi ikizaliwa upya Huyu anaongea hik anatetea hiki, Mara dini hii ina haki hii Mwingne anataka dheheb lake nae lipewe nafas sku1 pale...
9 Reactions
16 Replies
3K Views
Au ndio inawaterm kuwa ni wajinga wa mwisho?.kwa kuwa wamefeli kuandika na kufaulu mitihani ya makaratasi. Nashauri Serikali au taasisi mbali mbali ziangalie jinsi ya kuwakusanya na kuangalia...
1 Reactions
3 Replies
757 Views
Wakuu, kuna kitu nyeti sana ambacho binadamu hupenda sana kujisahaulisha , kukipotezea na hatakagi kukisikia ; KIFO ! Wengi wameshakufa, bila shaka mimi na wewe ipo siku tutakufa tu (iwe isiwe) na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Niliwahi kuwaza jinsi mwanasiasa anayeitwa Bernard Membe atakavyokwenda pale Mtaa wa Lumumba katikati ya jiji la Dar es Salaam. Mwishoni mwa Novemba mwaka jana wakati tukikaribia kuuga mwaka...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
*Taarifa Muhimu* Kuna zoezi litafanyika hivi karibuni la watu wa idara ya kazi kupita nyumba kwa nyumba juu mikataba ya kazi kwa wafanyakazi wote ikijumuisha wafanyakazi wa majumbani pia...
0 Reactions
3 Replies
971 Views
Mwalimu ambaye somo Lake nimeingia top ten kitaifa huwa anapewa zawadi gani?
0 Reactions
2 Replies
970 Views
Kudadeki nimegundua kuna elimu kubwa sana kuhusu dunia na haina usiri wowote kuweza kuifahamu ila kutokana na baadhi yetu tumepewa elimu ya kutupumbaza kiukweli elimu tuliyo pewa imeacha maswali...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Watu wanajua namna mambo yalivyo huku mtaani lkn wakipata nafasi wanakuwa kama mamba waliokutwa nchi kavu wengine n watu tunaowaamini sana ktk jamii. Unaweza kuhisi huku mtaani hakuna tatizo...
1 Reactions
2 Replies
791 Views
Kama nilivyoandika hapo juu kuwa hongereni sana kwa kusimamia maadili hususani kwa waumini wenu na hilo halina shaka kuwa baadhi ya madhehebu tumeyumba sana hususani katika mavazi. Jana...
21 Reactions
169 Replies
19K Views
"Mheshimiwa Rais Magufuli, demokrasia ni muhimu. Watu wana hofu hata kama huambiwi na watendaji wako. Kama kazi baba unapiga kweli, wewe waache wazungumze maana WATANZANIA hawatachagua maneno...
7 Reactions
51 Replies
7K Views
Kila nikinunua kifurushi kupitia mpesa, nikijaza vocha, nikituma pesa nilikua nikipewa tunzo hatimaye leo nilikua na tunzo 3000 sasa nikaamua niziconvert kuwa pesa niziingize Mpesa si ndio...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Mimi hadi nashangaa. kila mtaa utakuta nyumba ya mganga wa kienyeji na kila njia au barabara ina mabango ya waganga wa kienye wengine kutoka sumbawanga, congo na nigeria. watu wanye maduka...
2 Reactions
5 Replies
4K Views
Hivi ni haki kwa watoto wadogo kuvalishwa sare za vyama vya siasa wakiwa na umri wao huo mdogo? #festongadaya Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nili renew lesen yangu toka mwaka jana November wakaniambia watanipigia simu kunijulisha kama lesen yangu tayari nikachukue Ila mpaka leo tarehe 23 hakuna simu wala nini, Sasa nilitaka kesho...
1 Reactions
32 Replies
5K Views
wakuu habari. nataka kujua bei za vyumba posta kwa anaejua mana nimechoka kukaa uku kazole. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Back
Top Bottom