Basi arudishe pesa ya watu sio vizuri asee elfu kumi na unanunua kret la soda
We unatafutwa humu unajifanya kuwaunganishia kifurushi watu wanakutumia hela alafu umekula konaHii ndio tafsiri halisiView attachment 957999
Afu anawatishia eti kufunga namba zao fu**ng idiot we Kajole kwani unafanya kazi TCRA na ngoja leo sina kazi na deal na wewe mpaka picha zako nizipateWe unatafutwa humu unajifanya kuwaunganishia kifurushi watu wanakutumia hela alafu umekula kona
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app