lutemi
JF-Expert Member
- Dec 24, 2013
- 1,750
- 1,402
Wadau wanao tumia king’amuzi cha continental ambacho kinamilikiwa na sahara (mzee Dialo) nitoe malalamiko yangu kwa kupuuzwa leo siku ya tano tangia mtoke hewani na hamna maelezo yakinifu kwa jambo hili.
Mnatunyima sana habari na jambo hili limeonesha udhaifu katika nyanja ya mawasiliano pia hamtuthamini wateja wenu.
Niombe mtengeneze kwa haraka sana mitambo yenu.
Wasalamu
Mnatunyima sana habari na jambo hili limeonesha udhaifu katika nyanja ya mawasiliano pia hamtuthamini wateja wenu.
Niombe mtengeneze kwa haraka sana mitambo yenu.
Wasalamu