Nilichojifunza Kwa Mikutano Hii Miwili Tungesitisha Kwa Muda Shughuli Bunge

ibanezafrica

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
4,659
2,000
Ni ile mikutano ya Wadau/wachimbaji wa Madini na Viongozi wa dini ,Rais pamoja na viongozi wa serikali
Ni mijadala iliokua wazi,hoja/kero za papo kwa papo,ushauri na taarifa za mambo Mengi sehemu tofauti za nchi
Rais ameendesha vikao hivi katika hali ya kupendeza,kuvutia na kusisimua!
Nimeipenda sana modal hii kinachotakiwa tu ni kuboreshwa na kidogo kupunguza idadi ya makundi ya wajumbe
Nimeona kumbe tukiwa na makundi ya watu wa madini,viongozi wa dini,kundi la wafanyabiashara,Wadau wa afya,elimu na uchumi
Tosha kabisa hawa watu wanaweza kuwakilisha wananchi kuisaidia nchi ktk kuelekea mafanikio na kuionyesha serikali matatizo yaliyopo ktk jamii,kushauriana na serikali(rais pamoja na mawaziri)mini tufanye ili nchi iendelee mbele
Hivyo kundi hili lingekua linaitwa kwa vipindi Fulani vya mwaka,tena wala wasipewe offer za magari na malupulupu yawe ya kawaida,wala wasilipwe mamilioni wakimaliza muda wao hapo tutaokoa mamilioni ya shilingi ambayo yanaweza elekezwa hata kwenye afya na elimu
Makundi Haya yangehudumu na serikali mpaka hapo tungefikia sehemu nzuri kiuchumi,kiafya kielimu na kukomaa ki demokrasia ndipo hapo tungeunda bunge
Hivi sasa nchi tulivyo nyuma tungehitaji jitihada za haraka sana katika kuujenga uchumi.bunge letwabungesiasai lakini ni kama linaenda taratibu kutokana na kanuni,pia uvutano wa utofauti wa vyama vya siasa baina ya wabunge
Ama kivingine ningeshauri tuachane na vyama na siasa kabisa tujenge nchi wote kama taifa,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1000 digits

JF-Expert Member
Oct 16, 2012
4,625
2,000
Mengi wanayosema hao wawakilishi ni Yale yale wanayosema wabunge wa vyama vya upinzani

Kifupi ni kwamba Wabunge wa CCM hawana tija mana wangekua na tija hayo yasingekuwepo mana Rais angepata majibu toka kwa Chama chake.

Rejea Kikokotoo ; wapinzani walichosema ndicho alichoshauriwa Rais akakubali wakati Spika na Wabunge wake wa CCM walikataa mawazo yale yale waliyotoa Wapinzani.

Wabunge wangepunguziwa mishahara ili tuwalilishwe na wazalendo ambao wapo tayari kutetea Taifa na sio matumbo .

Tunapoteza mabilioni ya pesa kwa sababu ya vikao visivyo na mjadala wenye tija zaidi ya spika kuja na orodha ya maprofesa na maDR.

Wakuu wa mikoa na wilaya kwa kushirikiana na wananchi wenyewe wanatosha kabisa kusimamia na kuleta maendeleo.

Ndio hicho mkuu bunge linakua na mlolongo mwingi,linakua na vita nyingi za kisiasa maamuzi yanachelewa mno,michakato lnakua mingi
Wabunge wengine wanaingia bungeni hawaongei lolote had I mwisho wa session,wanachukua posho wanatoka
Wabunge wengine watoro bungeni,wanakusanya posho wanasepa!
Kweli wamenifurahisha sana wajumbe wa mikutano hii miwili ule wa madini na huu wa viongozi wa dini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbase1970

JF-Expert Member
Jun 11, 2015
5,964
2,000
Mengi wanayosema hao wawakilishi ni Yale yale wanayosema wabunge wa vyama vya upinzani

Kifupi ni kwamba Wabunge wa CCM hawana tija mana wangekua na tija hayo yasingekuwepo mana Rais angepata majibu toka kwa Chama chake.

Rejea Kikokotoo ; wapinzani walichosema ndicho alichoshauriwa Rais akakubali wakati Spika na Wabunge wake wa CCM walikataa mawazo yale yale waliyotoa Wapinzani.

Wabunge wangepunguziwa mishahara ili tuwalilishwe na wazalendo ambao wapo tayari kutetea Taifa na sio matumbo .

Tunapoteza mabilioni ya pesa kwa sababu ya vikao visivyo na mjadala wenye tija zaidi ya spika kuja na orodha ya maprofesa na maDR.

Wakuu wa mikoa na wilaya kwa kushirikiana na wananchi wenyewe wanatosha kabisa kusimamia na kuleta maendeleo.

Sent using Jamii Forums mobile app
wa ccm na upinzani tofauti yao ni ipi? Umesema ni yaleyale matatizo ambayo wsbunge wa upinzani wanayasema bungeni. Nadhani ungebadilisha useme ni yaleyale ambayo upande wa upinzani ulikua unayasema huko nyuma mpaka yalipoanza kufanyiwa kazi wskayakimbia.

Tuwe wakweli Tanzania hatuna wabunge wa maana ila tunawasubiri pension kubwa tu. Huwezi kutoa mapendekezo miaka 20 muda muafaka umefika na mtu anajaribu kuyatatua mwanzoni mnamukebehi mnasema natimiza sera zenu kwani kuna ubaya gani Rais akitekeleza sera za upinzani kama zitaleta mayokea mazuri? Haipo consistency huko upinzani. Mpaka wapiga kura baadae watajiuliza kuwa wamesamia wapi? Kuwa mawakili wa kutetea wafanyabiashra wenye matatizo na serikali ama kuwaletea maendelea wanachi waliowachagua
 
Kilele9

JF-Expert Member
Jun 1, 2017
1,109

Haya yote yanahitaji katiba mpya
 
gigabyte

JF-Expert Member
May 27, 2015
1,315

Kwani hao wapinzani wanaposema hayo yanamzuia rais asifanye alichotaka kufanya?.wabunge wa ccm ndo tatizo kwasababu yako mengi yakusema nakufwatilia lakini hawafanyi hivyo kazi nikupiga tu makofi.
 
gigabyte

JF-Expert Member
May 27, 2015
1,315
2,000
Nadhani umeona jinsi ambavyo nchi bado ina matatizo mengi yakuyajadili kwa uwazi tofauti na hizi ngonjera za wanasiasa zakupamba na kusifia tu.Kwenye hiyo mijadala wangepewa kuongea wanasiasa kamwe wasingeongea jambo la maana zaidi yakupiga vijembe na kusifia utadhani hakuna shida yoyote.Na mambo mengi yako wazi na yameshasemwa sana ila tatizo ni mwenye mamlaka kuyachukua nakuyafanyia kazi na hapa ndipo unapoona umuhimu wa vyama vya upinzani.tatizo la nchi yetu tunawaza maslahi ya vyama badala ya nchi ndo maana jambo likisemwa na kambi tofauti yakichama tunaona halina maana lakini jambo ilo ilo likisemwa na mtu kwenye mwavuli wa mfanya biashara tunaona kaongea point.
 
King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
34,432
2,000
Binge ni muhimi sana hila sio ili la KIJANI,Katiba mpya ile ya warioba ndio ilikuwa mwarubaini la bunge la kijani.
 
Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
10,533
2,000
SIONI UMAANA WA BUNGE BALI NAONA UTUMIAJI MBAYA WA FEDHA ZA UMMA,MISHAHARA YA WABUNGE IFUTWE,WABAKIZI POSHO NONO WAKATI WA USHIRIKI WA VIKAO,BUNGE LIFANYIKE MARA 4 KWA MWAKA KIKIWAPO KIKAO CHA BAJETI,ILI BUNGE ISIWE NI KAZI YA KUKIMBILIA ILI KUJINUFAISHA,MH,RAIS AWE NA BARAZA LA MAWAZI AMBALO LITAFANYA KAZI NYINGI ZA PAPO KWA HAPO.
PROF. ASAD ABAKIZWE KWENYE POST YAKE KAMA MTU MUWAZI,MAANA NAONA MH.RAIS AMESIMAMA KTK UWAZI HATA UKISIKILIZA HOTUBA ZAKE.
 
Kweli kabisa hiyo mikutano nimeifuatilia yote miwili,hakika sijaona haja ya kua na bunge kwa sasawangeiratibu tu modal ili watuwakilishe wananchi kuongea kero zilizopo
Bunge letu
Kesi zisizoisha
Mara Leo huyu kaitwa kujieleza
Mara huyu kadharau bunge
Mara kamata yule weka ndani
Mara mwingine anakamatwa anamwaga dawa bungeni!
Mara mwingine katishiwa maisha
Mara mwingine kapigwa risasi
Mara mwingine anatolewa nje mzobemzobe
Mara wengine wanazomea nk

Lakini tofauti nimeiona katika mikutano hii miwili imeenda very peaceful na vitu vimeongelewa papo hapo,waziri kaulizwa papo hapo,Igp kaulizwa papo hapo na Rais amekua msikivu kwa kusikiliza hoja baada ya hoja..na kuahidi kutatua mengi!
Bungeni hatuwezi sikia Mengi hivyo tena kwa muda mfupi,bunge limejaa watumishi wengi wanaolipwa pesa nyingi ,magari ma v8,lakini speed ni ndogo na malumbano Mengi wakati wote wanajenga nyumba moja!vikao hivi wajumbe wengi hawajalipwa mapesa Mengi ya posho na wengi walikuja kwa dala dala!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom