R Richerd New Member Joined Nov 14, 2018 Posts 1 Reaction score 0 Jan 24, 2019 #1 Habari! Jina langu ni Richard..mwanafunzi kidato cha nne4, Je' masomo yapi nahitajika kusoma kwa ufaulu ili baadae niweze kuchukua ITC?
Habari! Jina langu ni Richard..mwanafunzi kidato cha nne4, Je' masomo yapi nahitajika kusoma kwa ufaulu ili baadae niweze kuchukua ITC?
MNEKI JF-Expert Member Joined Oct 8, 2014 Posts 992 Reaction score 1,311 Jan 24, 2019 #2 ITC unamaanisha nini? Kama unamaanisha Information and Communication Technology(ICT) Unatakiwa kufaulu masomo ya sayansi + Hisabati na kiingereza. Richerd said: Habari! Jina langu ni Richard..mwanafunzi kidato cha nne4, Je' masomo yapi nahitajika kusoma kwa ufaulu ili baadae niweze kuchukua ITC? Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
ITC unamaanisha nini? Kama unamaanisha Information and Communication Technology(ICT) Unatakiwa kufaulu masomo ya sayansi + Hisabati na kiingereza. Richerd said: Habari! Jina langu ni Richard..mwanafunzi kidato cha nne4, Je' masomo yapi nahitajika kusoma kwa ufaulu ili baadae niweze kuchukua ITC? Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app