heavyload
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 925
- 528
Nimepotelewa na ATM card ya benki jioni ya tar 23/01/2019 naombeni msaada wenu nini nifanye nisije ibiwa pesa zangu,nini nifanye ili nipewe kadi nyingine?
Kwa anayefahamu utaratibu msaada tafafhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa anayefahamu utaratibu msaada tafafhali
Sent using Jamii Forums mobile app