Harmonize.I hope umejifunza tamaduni na tabia za wengine,usikurupuke

nzagambadume

JF-Expert Member
Apr 9, 2018
2,430
5,769
sitaki sana kuongelea la crew yenu kufanya show mbovu ya kuweka cd na kulazimisha crowd iimbe kama mlivyozoea huku tz maan huwa inawekwa cd mnatokea jukwaani mnashangiliwa,mnarukaruka mnakata mauno mnawaelekezea mic washabiki wanaimba nyie mnabaki kusema imba,siwasikii iiii piga keleeeeeeee
Ndugu yangu Hamonize ninachojaribu kukuambia hapa kuna misemo inatumika bongo sehemu nyingi wataona kama matusi,ulizomewa vibaya mno baada y a kusema maneno haya.
“Jamani wajua Wakenya ni maskini wenzangu sababu wote tuna hustle. Wakenya nawapenda nyinyi ni maskini kama mimi na tunatafuta wote hivyo tufurahieni wote.”
hukuwa na nia mbaya hayo maneno yaseme leaders club ,kirumba au dar live lakini pale uhuru park entrance ya chini ilikuwa 40,000 ya kibongo vip ilikuwa 300,000 ya kibongo plus ile pride na ujeuri wa wakenya waliona kama umewatukana bado yale mapicha mlipiga mmekaa na rayvanny sijui ppolice wao wanawalinda yaliwafanya jamaa kucharuka zaidi
leo ukienda baadhi ya nchi nyingine ukasifia mtu mwenye light skin kwamba ni ngozi ya mtume kama ulivyo msemo wetu huku hawatakuelewa
Jifunzeni basi nyie,mameneja wenu wana kazi gani?

Harmonize, who donned a costume themed on the Kenyan flag, performed more like a hype man rather than a musician. He quickly drew the ire of the crowd when he described Kenyans as being poor.

His remarks angered the crowd, especially those in the VVIP section who had paid Sh15, 000 for tickets. He was booed and had to play it cool, diverting their anger with his ‘kwangwaru’ song

The boring night was rescued by reggae group Morgan Heritage who gave a brilliant performance. Even Diamond Platnumz, who was the last to take on stage, couldn’t rival their performance despite perfoming longer.
 
Wabongo ni mang'ombe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakenya bhana !!!! yaani watu wa kuwatolea viingilio vya VIP ndio hao??
 
Mkuu kumbe kenyatta sio rais wa wanyonge
 
NAona wakenya wamekuwa disapointed sana na wasafi, wanalalamika tangu jana.
839ECAAC-BCB2-438D-98F4-F3419528B4BA.jpeg
9CAF26BD-0D5D-4C2D-B160-2FAF60FF022C.jpeg
 
Back
Top Bottom