Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Leo wakazi wa Hagafilo wameshuhudia mwili wa mtoto wa kike anayesadikilika kuwa na miaka 10 mpaka 12 umeokotwa ndani ya mto Hagafilo. Mashuhuda walioshuhudia tukio hilo(akiwepo Jirani yangu)...
4 Reactions
30 Replies
6K Views
Wanasayansi wamefanikiwa kukuza kuku ambao watakuwa wakitaga mayai yenye uwezo wa kutibu ugonjwa wa kansa. Kwa mujibu wa shirika la habari la BBC, Dr. Lissa Herron na timu yake kutoka chuo cha...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu poleni. Leo naona tujadili kidogo juu ya anga. Mimi kimtazamo naona angani sio duniani , kwasababu dunia ndo inayozunguka kwenye anga.nyie mnaonaje Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu naamini hapa ni kisiwa cha maarifa, naombeni kusaidiwa maana ya majina hayo kibiblia/kiimani, yanamaana gan? Na wanahistoria gani kiimani,? Asanteni.
0 Reactions
12 Replies
10K Views
1. Vodacom kuaccess mobile banking lazma uwe na hela kwenye line yako ya vodacom, sasa kama nataka kununua vocha inakuwaje? Mbona tigo hawana hayo mambo. Naomba mbadilishe huu utaratibu. 2. Pili...
2 Reactions
0 Replies
750 Views
Nimekua nasikiliza kipindi cha Power Breakfast cha Clouds, kipindi kina mengi mazuri na hongera kwao kwa hayo japo pia kuna dosari kadhaa kama kujikweza, kusimulia matangazo, umuch know mwingi nk...
3 Reactions
37 Replies
9K Views
Hali ya amani katika kisiwa cha mafia imetoweka kabisa. Watu wanaodaiwa kuwa ni wanajeshi wa JWTZ wanawapiga, kuchoma moto nyavu na kuwapora maboti wavuvi. Aidha wavuvi hao wanakamatwa kupotezwa...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Siku tatu tangu aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Tido Mhando aachiwe huru upande wa jamhuri umekata rufaa Mahakama Kuu kupinga hukumu iliyotolewa na Mahakama ya...
1 Reactions
43 Replies
10K Views
Nahitaji nipate vyeti vya vifo vya wazazi wangu( death certificate) kibaya sina taarifa zozote za hospital za kuhusu hili suala pia nipo mkoa wa mbali kidogo si nyumbani. Msaada je nikienda...
0 Reactions
0 Replies
689 Views
Binafsi sina mpango wa kupiga kura kwa utawala huu wa sasa, nawala sioni sababu ya kumshawishi hata mtu kupiga kura, kama imefika mahala mtu unaenda ofisi ya ...... Unaulizwa kwanza kadi ya CCM...
4 Reactions
49 Replies
4K Views
Mamia ya wakazi wa Kitongoji cha Momela kata ya Ngarenanyuki ,wilaya ya Arumeru ,mkoani hapa ,wamelazimika kuangua kilio mbele ya katibu Mkuu wa UWT,ccm Taifa,Queen Mlonzi,pale walipokuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
UUNGANISHAJI maji ya Mamlaka ya Majisa na Majitaka Dar es Salaam (Dawasa) kwa mkopo umeshika kasi katika maeneo mbalimbali huku mamlaka ikisema inakwenda hatua kwa hatua na wakazi wote jijini...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Huyu mwanadada/mwanamama ndo anayeongoza kipindi cha asubuhi cha Power breakfast,lakini amekuwa na tabia ya kuwakaripia kina masoud kipanya na ciza. Kuna kipindi wakati Ciza ndo ameingia kwenye...
20 Reactions
240 Replies
36K Views
Baada ya kupigwa ban kwa muda wa takriban wiki moja na kuwa msomaji tu wa mambo mbali mbali ikiwemo matokeo ya kidato cha nne basi leo nimefunguliwa rasmi na kuona na mimi nitoe maoni yangu juu...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari wana jamvi nishawah pata message kuwa kuna namba unatuma ili kupata message ya luku iliyochelewa au uliyofuta bahati mbaya kama kuna mtu anakumbuka naomba anijuze
0 Reactions
8 Replies
13K Views
MKURUGENZI Msaidizi wa Huduma za Ustawi wa Jamii, Osi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Rasheed Maftah ameagiza kuunganisha mifumo inayokusanya taarifa katika Mamlaka ya...
0 Reactions
0 Replies
828 Views
ni ngumu kusadifu! Pamoja na kwamba wengi huimba mapambio na kusujudu kwenye nyumba za ibada, lakini ukweli ni kwamba ile ni kama SHOW OFF! tu, lakini nyuma ya pazia watu wana miungu yao...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Vitu vingine unakosa hata maneno ya kuandika kwa hasira...aisee...nimeambiwa eti huyu ni Mkuu wa Wilaya...hata siamini
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nukuu za Mkurugenzi Mtendaji TANESCO Dkt. Tito Mwinuka. “Kwanza kabisa huwa nasema hata nikikutana na wafanyakazi wenzangu kwamba ningependa kuona TANESCO ambayo inafanya kazi ufanisi na ndiko...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kitabu cha wageni /Mapokezi cha Ofisi ya TRA Temeke kimeibiwa. Wezi hao wanawapigia simu wateja kwa kuwatapeli kuwa nyaraka zao zipo tayari ikiwemo leseni mbali mbali kuwa nyaraka zao zipo tayari...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom