Matangazo ya michezo ya kubahatisha yamefunguliwa?

Matangazo ya michezo ya kubahatisha yamefunguliwa?

X-Agent

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2014
Posts
9,004
Reaction score
17,177
Nimepokea sms kutoka kampuni inayoeendesha michezo ya kubahatisha ili hali ni majuzi tu tuliambiwa wamefungiwa! Je hili katazo limeexpire au? Kiufupi maisha yalikua ni murwa sana bila haya matangazo
Screenshot_2019-01-29-21-55-40.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
TCRA ni kisu kisichokuwa na makali. Walishapiga marufuku hayo mambo ya mitandao ya simu kutumia wateja wao sms za matangazo ; mpaka sasa sms zimeongezeka na hao TCRA wamekaa wanakula kodi za wananchi bure tuu. Hakuna tamko wanalolitoa wakalisimamia.

Angalia blacklist msg za matangazo tuu
Screenshot_2019-01-29-22-11-55.jpeg
 
Back
Top Bottom