Wakuu, nikumbusheni mnada wa tanzanite uliishia wapi?

Wakuu, nikumbusheni mnada wa tanzanite uliishia wapi?

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Posts
2,430
Reaction score
5,787
Tuliambiwa ukuta ukiisha pia minada ya tanzanite itakuwa inafanyika kulekule, wahindi watakuwa wanakuja wenyewe hadi manyara ,mnada unapigwa na nchi inapata mapato makubwa tena tukaambiwa jaipur na nairobi cities ndo mwisho wao
Ilifikia wapi wajameni????maana siku ilifika ukahaairishwa hadi leo kimya au ndo kick, DOUBLE KICK?
au ulifanyika miye sijui?nikumbusheni
 
Watakwambia tangu ukuta ujengwe timepata faiďa ya billìon 100, wakati kiuhalisia biashara imedolola
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom