Napata wakati mgumu sana kumlea mtoto wa kiafrika bila fimbo.
Kuna mbinu yoyote unaweza Lea mtoto mpaka utu uzima bila kumchapa?.
Watoto kuanzia 2-9years ni pasua kichwa utundu na tambia mbovu...
KWA mara ya kwanza Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI) imefanya uchunguzi wa kibobezi wa moyo kwa kutumia kipimo cha MRI (Cardiac MRI) ambacho hakijawahi kufanyika katika hospitali za nchini. Kipimo...
Hodi Wadau humu ndani.
Nimepita kwa mpika chips mmoja nikakuta anaweka mafuta ya kula kwenye chombo ya kukaangia chips, nikamuuiza kiongoz umeangalia EXPARE DATE akasema hapana, kuja kuangalia...
Habari za muda huu.
Bila kupoteza muda,naelekea moja kwa moja kwenye mada tajwa.
Kwa wale ambao tunapenda kuifuatilia dunia yetu,hasa kwa upande wa masuala ya anga,ni wakati muafak wa kupakua...
Wanabodi,
Niko hapa Serena Hotel DSM kuwaletea uzinduzi wa ON Line Porta ya TFDA ambao utawezesha mambo yote ya TFDA kuendeshwa kidigitali!.
Mamlaka ya Chakula na Dawa nchini Tanzania, (TFDA)...
Mwaka 2022 Mwanasayansi Elon Musk kupitia kampuni yake ya Space X, Watapeleka kundi la kwanza la Watu kwenda katika Sayari ya Mars kwa ajili ya utafiti na kutalii pia.
Pia kumbuka umbali wa...
Nahisi kama speed ya matumizi ya umeme yameongezeka hivi, Je kuna wengine mmeona hii issue au ni issue za matumizi yanyumbani kwetu wapendwa?
What i mean here, Consumption speed have increased...
Kwa mtu yeyote anayefuatilia maendeleo ya ukuaji wa Dar es Salaam, atagungua muda si mrefu Mbezi itakuwa ni kitovu kikubwa cha bishara na uchumi kutokana na kukua kwa haraka na pia kuimarishwa kwa...
Kuna sehemu maalumu ambazo kikundi cha maaskari wa usalama barabarani husimama kwa ajili ya ukaguzi wa magari mabalimbali kwa kuangalia kama sheria ya usalama barabarani inafuatwa dreva kufunga...
Kabisa ndiye!
Hii imekaaje Ndugu zangu?Kabisa alikuwa Padri na Paroko Mahali fulani na alirejea kwao Ajabu nimemuona kwa macho yangu akihudumu kama Mwanajeshi wa N,Seal huko kwingineko.
Tena...
Nitaeleza kwa kifupi sana ili kupisha mjadala!
Zipo changamoto nyingi sana zinazotokea tuwapo barabarani iwe kwa vyombo vya moto, baisikeli ama kwa watembea kwa miguu.
Kutokana na changamoto...
Nyie makampuni ya simu mnaotoa huduma za kifedha kwanjia ya (mtandao )anzisheni POS zenu ili kupunguza au hata kuzuia uwizi unaofanywa katika mitandao simu hasa kwa Mawakala wanaotoa huduma za...
Katika kitabu chwa mwanzo Sura ya 4 katika mstari wa 15-16 Biblia inasema kuwa baada ya Cain mtoto wa kwanza wa Adam kumuuwa nduguye Habili ambaye ni mtoto wa pili wa Adam Mwenyezimungu alimfukuza...
Jamaa anasema kuwa maisha yake yote yeye hajawahi kufanya shuhuli yoyote ya kujitegemea nnje ya shuhuli za serikali, zaidi ya kutegemea kipato chake kwa ajira ya serikalini hadi leo hii...
Wadau kuna watu wanajitangaza kwenye mitandao ya kuwa wanaweza kukuunga bando la 30gb na dk kibao kwenye mitandao ya voda, halotel n.k kwa sh 10,000 au 15,000. Jamani hawa watu ni wakweli au ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.