Vodacom mnachowafanyia wanafunzi sio sahihi

Vodacom mnachowafanyia wanafunzi sio sahihi

kuku mweus

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Posts
765
Reaction score
606
```*VODA KAMA MMETUCHOKA WANA CHUO MTUAMBIE*

Habari ziwafikie popote mlipo........

Sisi ni wanachuo watoto wa maskini kutoka Tanzania ambao tulitokea kuupenda mtandao wa Vodacom na kuona ni mahali sahihi kwa kutokana na matumiz yetu mbali mbali ya simu hususani kimtandao ambayo hutusaidia kutafuta material mbali mbali kwa gharama nafuu . Sasa mmetuona sisi ndio shamba la bibi kwa kutaka kujinufaisha kwa haraka au yale mamilioni mliyotoa kwenye rambi rambi mnataka mrudishe kupitia sisi ??? Iweje mtupandishie gharama za vifurushi kwa kiasi hicho ?? Kueni na huruma kwa watoto wa maskini kama sisi tunaojariwa kuja kuwa wajengaji wa taifa hili letu pendwa la Tanzania. Kiukweli hatuna hamu tena ya kuendelea kuwa wateja wenu teena kwa haya mnayoyafanya . Tunaomba popote msomapo ujumbe huu mjibu swali hili " MMETUCHOKA WANA CHUO"??? AU "MMEONA SISI NDIO SHAMBA LA BIBI???" . Msipolirekebisha hili ndani ya siku nne tunahama mtandao wenu mtumie wenyewe Uni offer maana mmeona tunafaidi sana . Kwa leo acha niishie hapo tusubir utekelezaji

Ewe mwanachuo Share hadi iwafikie

~Fulldose~```
Na tutahama
 
Nlitaka kuamia Tigo yani nliyokutana nayoo hukoo mbona nlirudi mwenyewee nkawa mdogo kama priton
Tigo gani unayosemea ww hii au
Screenshot_20180929-154800.jpeg
 
Madogo wachuo ni wapumbavu sana nyie mnajua VAT wanayokatwa hawa jamaa imekuwa mpaka kero eti wanachuo wanachuo kwani nyie ndio nani kwa Vodacom hata mkihama wote hamna athari yoyote
.
.
Ukituma au kutoa pesa M-PESA na TIGO PESA gharama ni yakutisha mbona hamjalibebea bango hili swala?

Wanachuo washaishaga kitambo
 
Back
Top Bottom