Simu za Makamanda wa Polisi Mikoa yote hizi hapa

Simu za Makamanda wa Polisi Mikoa yote hizi hapa

Mwitongo

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2009
Posts
312
Reaction score
362

Kuwa na namba hizi kunaweza kuwasaidia kuwasiliana na hawa makamanda japo imani yetu kwa Polisi imeshuka sana!




NAMBA ZA SIMU ZA MAKAMANDA TANZANIA (RPCs)
MKOA JINA LA KAMANDA SIMU

Arusha ACP Liberatus Sabas 0713 269 232
Dodoma ACP David Misime 0754 470 959
Manyara ACP Akilimali Mpwapwa 0658 777 778
Mwanza SACP Ernest J. Mangu 0754 262 861
Kagera ACP Philip Kalangi 0754 746 958
Mbeya ACP Diwani Athumani 0787 323 444
Kigoma ACP Frasser Kashai 0787 453 156
Kilimanjaro ACP Robert Boaz 0784 864 212
Tabora ACP Anthon Ruta 0784 368 619
Lindi ACP George Mwakajinga 0784 362 279
Pwani ACP Ulrich Matei 0658 44 44 88
Iringa SACP Michael Kamuhanda 0754 242 515
Rukwa ACP Jacob Mwaruanda 0753 595 733
Morogoro ACP Faustine Shilogile 0754 277 154
Mara SACP Absalom Mwakyoma 0754 293 349
Singida ACP Linus Sinzumwa 0757 760 430
Mtwara ACP Mary Nzuki 0754 339 558
Tanga ACP Costantine Massawe 0713 510 856
Shinyanga ACP Evarest Mangala 0754 170 377
Ruvuma ACP Deusdednt Nsimike 0765 850 830
Tarime- Rorya ACP Jastus Kamugisha 0784 508 090
Simiyu ACP Salum Msangi 0754 370 730
Njombe ACP Furgence Ngonyani 0784 593 326
Ilala ACP Marietha Minangi 0787 637 172
Temeke ACP Engelbert Kiondo 0763 04 40 00
Geita ACP Leonard Paul 0754 837 526
Katavi ACP Dhahiri Kidavashari 0658 777 778
Kinondoni ACP Charles Kenyela 0784 820 033
Kaskazini Pemba SACP Yahaya Mohamed Salehe 0777 429 365
Kusini Pemba ACP Hassan Nassir Ally 0777 425 353
Kaskazini Unguja ACP Ahamad .H. Hamisi 0777 474 601
Kusini Unguja ACP Augostino Ulomi 0786 662 099
Mjini Magharibi ACP Aziz.J.Mohamed 0777 414 488
 
Aksante Mkuu!
Kuna mojawapo hapo nilikuwa naitafuta sana ili ku-update Emergency Plan ya Ofisi yangu!
 
Safi. Nampigia KAMHUNDA kujua sakata la MWANGOSI limeishia wapi?Maana anasema katumwa na wakuu wake.
 
Asante sana Mkuu.

Lakini je katika hawa wote nani ni Waadilifu wa kazi yao????

Naomba mnisaidie kuwaweka hadharani ili nizihifadhi namba zao katika CM yangu. Wale akina Kamuhanda siwezi kuwaweka katika CM yangu najua hawatanisaidia hata nikipata tatizo mkoa wa Iringa zaidi ya kuwaambia askari wake waniue.


MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 

Kuwa na namba hizi kunaweza kuwasaidia kuwasiliana na hawa makamanda japo imani yetu kwa Polisi imeshuka sana!



Iringa SACP Michael Kamuhanda 0754 242 515

HATARI!!!!

Kwa Jeshi letu hili ukikutwa na namba za hao unaweza kubambikiwa kesi ya kuplan kumRiberatus kamanda mhusika, sintosahau pale Osterbay jamaa yangu alivyokamatwa kwa uzururaji na alipokataa kuhonga kesho yake akapandishwa kwa pilato na kesi ya kukutwa na Bangi
 
Safi sana ingekuwa vizuri wakazistick hizi namba, Mtu akikuzingua tu unaingia JF chapchap unatafuta namba za kamanda muhusika unamtwangia, kuliko kuyahifadhi manamba yote haya kwenye cm.

Na vizuri yakitokea madiliko ya makamanda watuwekee. Maana isije siku uko Iringa una matatizo unampigia Kamanda Kamuhanda, kumbe washamwaga kapelekwa kikosi cha farasi na mbwa akafe njaa vizuri.
 

Asante sana Mkuu.

Lakini je katika hawa wote nani ni Waadilifu wa kazi yao????

Naomba mnisaidie kuwaweka hadharani ili nizihifadhi namba zao katika CM yangu. Wale akina Kamuhanda siwezi kuwaweka katika CM yangu najua hawatanisaidia hata nikipata tatizo mkoa wa Iringa zaidi ya kuwaambia askari wake waniue.


MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!

Hapo pia ndo swali langu kabisa!
 
Back
Top Bottom