101 East
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 1,040
- 2,120
Kampuni ya mafuta Kobil oil Tanzania limited iliyokuwa inamilikiwa na Kilimanjaro oil Tanzania limited subsidiary company ya Delina general enterprises Tanzania limited inayomilikiwa na Davis Mosha imeuzwa rasmi kwa kampuni ya world oil Tanzania limited.
Uuzwaji huo umehusisha bohari kuu(oil deport) ya mafuta iliyopo wilayani Kigamboni jijini Dar es Salaam pamoja na jengo la Head office zilizokuwapo katika eneo hilo Ingawa
Haijafahamika Kama Delina General Enterprises Tanzania Lmited wameuza mpaka vituo vyao vya reja reja au la hata hivyo miaka ya hivi karibuni bohari hiyo ya mafuta ilikuwa na utendaji wa kusuasua huku vituo vingi vya mafuta vya kampuni hiyo vikiwa katika Hali mbaya sana ya kimazingira na kibishara
Sehemu mbalimbali hapa nchini Kuuzwa kwa KOBIL, Ni mwanzo wa mfanyabiashara Davis mosha kuachana na biashara ya mafuta?
Sent using Jamii Forums mobile app