Kwa mujibu wa Hellen Simba Mkurugenzi wa Taasisi ya Haki za Binaadamu ametaja sehemu zinazoongoza kwa mambo ya kishirikina ambzo ni simiyu
Shinyanga
Bukoba
Mwanza
Tofauti na fikra za wengi...
Ukipiga maesabu ya mwaka 2013 hadi sasa 2019 utagundua ni kama juzi tu, basi ndivyo ilivyo kwa bwanamkubwa kumaliza muda wake ni keshokutwa tu maana siku hazigandi
Mdogo wangu DAB angalia sana...
Jamani naomba wazoefu wa safari waniambie wapi maisha ni mepesi na unaweza kutengeza fedha kwa kufanya biashara ya kawaida wa kulinganisha Dar, Lusaka,Lubumbashi na Harare? Tushauriane
Siku ya Saratani duniani husherekewa tarehe 4 January kila mwaka na hii husaidia kujenga uelewa wa kuhusu ugonjwa huo na kuupa kipaumbele kwenye maswala ya afya kidunia. Watu milioni 9.6 hufa...
Radio One - Irine Isaka
Hakuna FAO La Kujitoa
Amesema PPF ilikuwa na fao la kujitoa lakini kwa sasa limesitishwa, ila NSSF kwenye mafao yao hakukuwa na fao la kujitoa kwa maana hiyo walikuwa...
Salaam waungwana
Leo naomba niweke wazo langu rasmi hapa jukwaani. Ni kihusu haya mauaji yanayotokea huko mkoani Njombe. Nianze kwa kusema haya yafuatayo.
Miezi ya karibuni huko Mkoani Arusha...
Kesho tarehe 4 Februari ni siku ya kansa duniani. Watanzania wapatao 55,000 wanapata ugonjwa wa kansa Tanzania. Lakini wanaojitokezakwa matibabu ni 13,000 tu. Na wengi wanaofika hospitali wanakuja...
Ninavyoandika uzi huu nipo stendi ya Nyegezi mkoani Mwanza ndani ya basi la Kisibo, yaani Wachungaji wanapishana ndani ya basi wanahubiri injili kwa kupayuka mithili ya watu ambao wanatumwa!
Mara...
Hivi karibuni nilitembelea kwa mara nyingine pande hizo, hali siyo kama nilivyoiacha. Mabadiliko ni makubwa. Wenye kupanda bodaboda wamepungua sana ktk eneo la makao makuu ya Wilaya. Baiskeli ni...
Wenye facts, data, evidence zitakazonishawishi kukubali nikichague chadema kishike dola 2020 .
Na evidence hizo ziwe ni zile za kuwaletea wananchi maendeleo.
Hata kwa fedha za mfuko wa jimbo...
NAIBU Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo amesema serikali inazipitia leseni zote zilizotolewa na wizara hiyo kwa ajili ya utati na wawekezaji na ambazo hazijaendelezwa zitafutwa. Nyongo ametoa...
Mkazi wa Kijiji cha Makole aliyetambulika kwa jina moja la Ally ameuawa kwa kukatwa mapanga.
Kamanda wa Polisi mkoani Tanga, Edward Bukombe amethibitisha kutokea mauaji hayo yaliyofanyika kijiji...
Nimegundua mada yoyote au Uzi ukitolewa ukawahusisha jamii ya kistaarabu ya kiarabu uwa wanapingwa sana kwa maneno makali sana na kashfa.
Hata km ukizungumzia mambo ya heri mfano waarabu...
Dodoma. Mbunge wa Mchinga (CUF), Hamidu Bobali amesema atajiuzulu ubunge ikiwa mbunge au waziri atathibitisha kuwa wakulima wa korosho hawalipwi Sh2,640 badala ya Sh 3,300 kwa kilo moja kama...
Hoja yangu nimeileta nikiwa na maana kuwaomba wananchi wenzangu tuboreshe vya kwetu.
Kwa mfano matunda mengi yanaoza, kwanini tusifikirie kwenye mitaa kusiwe na vinywaji vya kiwandani bali taifa...
Mengi yanasemwa kuhusu ziara za nchi mbalimbali, mahojiano na vyombo vya habari vya kimataifa na mikutano mbalimbali anayofanya Mh. Tundu Lissu huko ughaibuni ni matokeo ya kushindwa kwa jaribio...
Tanzania Spokesperson: New Political Parties law to Enhance Political Governance, Party Democracy
By Jerry Omondi - February 3, 20190149
Tanzania’s parliament has passed amendments to...
Waziri wa Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia,wazee na watoto, Ummy Mwalimu amesema kila mwaka nchini wagonjwa wapya wa saratani takribani 55,000 hugundulika huku asilimia 52 ya wagonjwa hufariki...
Idara ya uhamiaji mkoa wa Pwani imekamata wahamiaji zaidi ya mia tano na mawakala wao katika operesheni iliyofanyika wilayani Bagamoyo na maeneo mengine kati ya Januari mosi hadi sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.