Udugu ni kufaana na si kufanana

Udugu ni kufaana na si kufanana

BSL

Member
Joined
Dec 15, 2018
Posts
86
Reaction score
98
ndg zangu wana jamii forum kesho nategemea kuanza safari ya kuelekea dar baada ya kumaliza kazi za kiofisi arusha majira ya saa 8 za mchana ,najua kabisa nitafika usiku mnene ,ningependa mwanajamii mwenzagu anipokee ili kuimalisha udungu ,waweza weka namba zako simu nitakupigia ili unielekeze nikifika ubongo unipokee.
 
Karibu tena mkuu,Arusha kuna mvua?
 
ndg zangu wana jamii forum kesho nategemea kuanza safari ya kuelekea dar baada ya kumaliza kazi za kiofisi arusha majira ya saa 8 za mchana ,najua kabisa nitafika usiku mnene ,ningependa mwanajamii mwenzagu anipokee ili kuimalisha udungu ,waweza weka namba zako simu nitakupigia ili unielekeze nikifika ubongo unipokee.
Wewe ndio uweke namba zako hapa ili kurahisisha mawasiliano mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ndg zangu wana jamii forum kesho nategemea kuanza safari ya kuelekea dar baada ya kumaliza kazi za kiofisi arusha majira ya saa 8 za mchana ,najua kabisa nitafika usiku mnene ,ningependa mwanajamii mwenzagu anipokee ili kuimalisha udungu ,waweza weka namba zako simu nitakupigia ili unielekeze nikifika ubongo unipokee.

Omba hifadhi hukohuko uondoke na kufika kukiwa salama kuliko kusafiri kwenye risk
 
Huyo atakayekufaa wewe umejipanga kumfaa vipi?

Quid Pro Quo inatumika hapa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom