MEXICANA
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 1,785
- 2,062
Inshomile rejea mada tajwa hapo juu yahusika.
Biblia inasema tutawatambua kwa matunda ya kazi zao....
Kiukweli kati ya miji iliyoduni katika karne hii ya 21 mji wa bukoba siwezi kuacha kuacha kuutaja.
Duni kwa kila kitu,miundombinu,huduma za jamii,watu wasio enda na nyakati[laggards].
Haiwezekani mkoa unaoongoza kuwa na phd holders nchini uwe duni kiasi hiki.Mara ya kwanza kufika mjini bukoba sikuamini kuwa pale ndo town centre ya inshomile.
EMBWEEEENU INSHOMILE MLINKAA? Nilichogudua,watu wa bukoba msipobadilika mtabaki na misifa yenu isiyo kuwa na ukweli halisia,maana huwezi sema nyie n mnaongoza kuwa na wasomi nchini wakati ukifika stand ya bus unaogelea tope,hakuna usafiri wa ndani{haice}, mnaongea kilugha tuu utafikiri usipongea kilugha unapigwa faini yaan mnakera sana,too much knowing while u dont know,miradi mingi ya maendeleo mnakwamisha nyie wenyewe wala sio wanyamahanga[wakuja].
Miaka ya juz kati mlipewa fedha na world bank mjenge mji wenu mkaanza kuzozana wenyewe kwa wenyewe mpaka fedha ikarudi, mnabaguana saaaana hasa wanyamahanga mnawaona kama sio watanzania, MPAKA HAPO HAMTOBOI HATA MSOME BEYOND PHD.