Nyumbani hatimaye!!! Kina nani tunafuatilia hotuba hizi?

capitalpool

JF-Expert Member
Sep 18, 2017
22,353
121,237
Kwenu wana JF,

Je msio na nafasi za kujihudhurisha katika nyumba za ibada Huwa mna fanyaje, Je umesikia hii?

Binafsi ni Mkristo na nimekuwaa katika Ukristo ila changmoto ni kuendelea kuhudhuria ktk nyumba za Ibada, hii ni kutokana na Kazi ninayo fanya na mazingira ninayo ishi!!

I live in a world of noise. Almost everywhere I go, I find sounds competing with my mind, keeping me from letting my thoughts get below the surface level.

Hearing God's voice means not listening to the noise of the world around us. It's not easy, but it can be done.

Nimegundua Mungu huzungumza nasi kwa namna tofauti, kama ile ambayo binafsi huzungumza nami!

Listening to God is like listening to anyone-before you can hear Him, you must be ready to listen. Just as in a conversation, you cannot hear the other person if you are talking or if your mind is distracted.

Nashukuru kwa programms zinazoendeshwa na waumini wa SDA!! Nimekutana na program kadhaa zikiendeshwa kupitia YOUTUBE na zimenisaidia walau kupunguza KIU yangu kuhusu kutaka kumjua MUNGU!!

To cut a long story short, naguswa kuwapeni taarifa kwa wale wenye changamoto na shauku kama yangu. Jifunzeni kupitia YOUTUBE, Mungu anatujali na kutupenda bado.

Screenshot (24).png




Hizi ni badhi ya picha nimechukua kupitia YOUTUBE


Screenshot (47).png



WHAT DO YOU THINK?
the-way-middle.gif
- We have all sinned and deserve God's judgment. God, the Father, sent His only Son to satisfy that judgment for those who believe in Him. Jesus, the creator and eternal Son of God, who lived a sinless life, loves us so much that He died for our sins, taking the punishment that we deserve, was buried, and rose from the dead according to the Bible. If you truly believe and trust this in your heart, receiving Jesus alone as your Savior, declaring, "Jesus is Lord," you will be saved from judgment and spend eternity with God in heaven.



Screenshot (33).png



Mungu Awabariki Wale Wote Mnahusika/Kushiriki Kurusha Hotuba Hizi!!
 
Kutokana na mazingira tunayoishi sasa naona Promo ni vizuri iwepo tu, vinginevyo kuna watu hawaelewi bila hiyo promo.
 
Walio Dar wanaweza kufika SDA kinyerezi yaporushwa haya mafundisho na wa mbali tunaweza fuatilia pia kupitia Hope channel tv kwani yanarushwa kwa satellite live from there. Pia kwenye radio inayoitwa Morning star FM
Ahsante kwa ufafanuzi BOSS! Mbarikiwe sana kwa Hotuba zenu Hizi!!
 
Angalau nyie nataka. Kuwaelewa lakini makanisa mengine hamna kitu ni. Mpango. Wa mpinga kristo kutaka. Luwaaminisha. Watu wako upande wa Mungu kumbe ili. Ck ya mwisho wachomwe moto pamoja. Nae hasa haya ya. J2.
 
Nilikuwa nasali j2 baada ya kufuatilia maandiko ninampango. Wa. Kurudi kwa Wadventisa wasabato japo sio leo wala kesho.ila. J2 nilisha acha toka. Mwaka jana..niwa wachukia. Hawa wanaojiita maasikofu, wachungaji, nabii, mitumie wa j2 ni wahuni. Kama. Wahuni wengine wanaiba sadaka. Na kujitajirisha wao na. Familia zao.
 
Back
Top Bottom