Kwa Nini Mnatutenda Sasa Hapa !!?????!!

kuandika hapa ni ukosefu au utumiaji mbaya wa resource (JF) ?? nataka kila mtu ajue, maana hii ni kitu ambacho hakitokei mara moja ni repeatedly hutokea na najua sio bahati mbaya !
 
Labda mie niulize kwanini imepelekwa huko kwenye recycle bin?

Baada ya kutafuta na kukutwa mada imewekwa kwenye closed topics.. angejaribu kuwasiliana na MOD na kuuliza imekuwaje. Kama hajapata maelezo ya kuridhisha basi angelalamika hadharani. Lakini haya ya kugutuka na kuanza kulalamika huwa yanachosha.. halafu ndiyo Jumanne..
 
Yanakuchosha wewe kama nani?
 
Baada ya kutafuta na kukutwa mada imewekwa kwenye closed topics.. angejaribu kuwasiliana na MOD na kuuliza imekuwaje. Kama hajapata maelezo ya kuridhisha basi angelalamika hadharani. Lakini haya ya kugutuka na kuanza kulalamika huwa yanachosha.. halafu ndiyo Jumanne..

mbona unanielekeza taratibu zooote hapa JF ? UNA affiliation gani na mods wa JF ? najua yanachose malalamiko, hivyo kama utakuwa wa kwanza kuchoka na ili haki itendeke na kusiwe na malalamiko nimeona itakuwa vizuri thread zote zinazohusu zitto zihamishwe huko kwenye recycle bin aka closed threads !

shukrani !
 
na hii yote inatokana na kampeni ya chadema kutaka kuonekana wako swafi kupita kuliko ! ukisema kidogo kuhusu chadema, either ujue thread inafutwa, inapelekwa sehemu ili watu wasichangie mawazo yao ! yaani kwa kifupi wanaogopa madongo wakati wao siku kucha wanakandia hata yale mazuri ! sasa JF inaendeshwa kichama jamani ?

Mkiniban sawa lakini nimesema ninaona ni ukweli !
 
mbona unanielekeza taratibu zooote hapa JF ? UNA affiliation gani na mods wa JF ? najua yanachose malalamiko, hivyo kama utakuwa wa kwanza kuchoka na ili haki itendeke na kusiwe na malalamiko nimeona itakuwa vizuri thread zote zinazohusu zitto zihamishwe huko kwenye recycle bin aka closed threads !

shukrani !

najua sio weekend lakini ni lunch time kwa watu wanaotumia mountain time, mbona umeanza tena vilio?
 
Baada ya kutafuta na kukutwa mada imewekwa kwenye closed topics.. angejaribu kuwasiliana na MOD na kuuliza imekuwaje. Kama hajapata maelezo ya kuridhisha basi angelalamika hadharani. Lakini haya ya kugutuka na kuanza kulalamika huwa yanachosha.. halafu ndiyo Jumanne..

kama kusema tu inakuchosha, basi nadhani Muungwana mmemuumiza kuliko, maana is more than killing na hayo malalamiko yenu ! anyway mod, sina time ya kubishana, naomba uweke thread zote za zitto kwenye recycle (closed threads) ili kutenda haki ! usiirudishe ( kwa maana uliipeleka kule mwenyewe, haikukiuka mipaka ya JF, no matusi, no bad discussions, no nothing ) so, kwa heshima na taadhima yako the same things that made you shift the thread to closed topics should be the same ideas making you shift all threads about zitto to closed topics !

asante !
 
Back
Top Bottom