Mfunika Kombe Mwanaharamu apita: Bajeti ya kutengeza barabara haraka viongozi wakija inatoka wapi?

DJkus

JF-Expert Member
Nov 9, 2018
349
500
Habari kwenu wanaJF..

Barabara zetu nyingi za mikoani na Wilayani ni vikaangio vya vitumbua na au Muffin Pan's.

Pindi viongozi wa maeneo husika wasikiapo kuna ujio wa maboss wao toka juu basi watapamba kusafisha na kuziba mashimo yote barabarani

Mie huwa najiuliza budget hutoka wapi ya haraka kurekebisha haya?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom