Kwanini vitanda na magodoro vinatawaliwa na urefu wa futi 6?

IKIRIRI

JF-Expert Member
Jan 14, 2018
2,676
2,000
Wadau nataka kujua ili swala kwanini vitanda vinatengenezwa kwa urefu wa 6f unabadilika upana tu.,na hata upana umezidi ft6.

Kwani haiwezekana kutengeneza 10/10 ?
Aaaaah Aaaaah nawasubiri wale mabingwa wa kukosoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mbutamaseko

JF-Expert Member
Nov 20, 2018
420
500
Wadau nataka kujua ili swala kwanini vitanda vinatengenezwa kwa urefu wa 6f unabadilika upana tu.,na hata upana umezidi ft6.

Kwani haiwezekana kutengeneza 10/10 ?
Aaaaah Aaaaah nawasubiri wale mabingwa wa kukosoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea nchi na nchi kuliingana na maumbo ya watu wao hasa urefu. China kuna mpaka 3 kwa 4. Hata condom zao size c kama ya huku kwetu kigoma. Zao ni ndogo kama unaenda kuvalisha sousage. Kwetu ni kama unaenda kuvalisha kopo la Baltika 0. Ni hayo tu
 
gm man

JF-Expert Member
Nov 26, 2017
1,118

Mkuu

Hv hiz ndom za kwetu ni kubwa au kuna saiz kubwa zaidi????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
PILOT 7

JF-Expert Member
Jul 8, 2016
1,211
2,000
Wadau nataka kujua ili swala kwanini vitanda vinatengenezwa kwa urefu wa 6f unabadilika upana tu.,na hata upana umezidi ft6.

Kwani haiwezekana kutengeneza 10/10 ?
Aaaaah Aaaaah nawasubiri wale mabingwa wa kukosoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
kisayansi kitanda kikiwa kirefu sana huwezi kupata Usingizi Sheikh. ndiyo maan ma ankali wafupi kwenye 6|6 unakuta wanakunja miguu ili walale mapema.
 
Deceiver

JF-Expert Member
Apr 19, 2018
3,648
2,000
Unatuonyesha ni kiasi gani wewe ni mshamba na hujatembea sehemu/nchi mbali mbali. Yaani upeo wako unaishia futi 6.
Wasalimie Kigoma
 
isajorsergio

Platinum Member
Apr 22, 2018
2,925
2,000
Most Africans kimo kinafika 6 or less wachache kuwa 7 and above. Kwa nchi za kiafrika Latin na Asia ni standard kabisa lakini Europe, North America, Australasia na Middle East (Western Parts) hata 8 by 8 vimejaa.

Hata Afrika vinavyozidi 6by6 vipo lakini kwa uchache.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom