Kunya anye Kuku,akija Bata kaharisha

Kunya anye Kuku,akija Bata kaharisha

Kugeuka

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
333
Reaction score
225
Mh. Polepole anachanja mbuga huko karatu na kupiga kampeni ili wananchi wamchague mbunge wa ccm uchaguzi ujao. Amewaambia wamfuate mzee wao Slaa,ilihali tunajua kua Dr. Slaa hajajiunga na chama chochote mpaka dk hii. Ila kwa kauli za Polepole ni dhahiri na ni ofisho,dr slaa amejiunga na Ccm japo hajajitangaza. Alichokifanya Polepole,angekifanya mpinzani naamni ingekua nongwa!!!! Chanzo Gazeti la Mwananchi online Polepole amtumia Dk Slaa kuing’oa Chadema Karatu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwisho wa ubaya ni aibu. Acha wafanye tu na wanafanya kwasababu wana wasiwasi mwingi.

Public opinion haiwezi kudanganya. CCM imeshakufa ni kule kuwepo dolani tu ndio kunawafanya waendelee ku hang on. Time will tell
Huwa najiuliza kila siku,hawa jamaa wanaabudu wapi? Wanajua kua Mungu yupo? Mwisho wa ubaya ni aibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom