Kama unahitaji Hiliki pita pita hapa.

Sefu jafary

JF-Expert Member
Jun 5, 2016
383
500
Ni matumaini yangu kuwa mpo vizuri kiafya sabab,kwangu mm afya ndo mtaji wa kwanza kabla ya capital.
Kama nilivyo tangulia kusema kwenye kichwa,nina mzigo wa hiliki nauza kwa bei ya jumla na reja reja lakini reja reja ni kuanzia kilogram 50.
Bei ni yakawaida sana kutokana na dhamani ya hili zao.
Kwa wateja wa reja reja nitawauzia kilo moja kwa sh.27000 na wateja wa jumla nitauza sh.25000 kwa kilo.
Nina kama kilo 15000 zipo sokoni kama utajitaji au kuna mtu anaitaji tuwasiliane kupitia.
0746756229.
Angalizo kama huna plan za kuchukua mzigo kwa sasa jipange kwanza sabab watu wengi wananipigia wakidai mzigo alafu wanapotea.
Unapo amua kufanya biashara fanya usijaribu,so kama lengo lako ni kujaribu tulia kwanza mpaka niuze mzigo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samcezar

JF-Expert Member
May 18, 2014
5,849
2,000

Dhamani

Thamani

Nani alikufundisha kiswahili shule ya msingi?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom