Udart: Muda wa majaribio umepita

Udart: Muda wa majaribio umepita

Shetemba

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2018
Posts
956
Reaction score
986
Wakati mabasi ya UDA yanaanza kazi

Serikali kupitia wakala wake DART

Ilisema kuwa wamewapatia UDA kipindi cha miaka miwili kwa MAJARIBIO:

Sasa cha ajabu miaka miwili imeisha lakini cha kushangaza serikali bado inawang'ang'ania hawa UDART kisa nini angali wameshindwa kufikia walahi robo tu ya mafanikio?.

Kwa kweli raisi Magufuli huyu Kisena anakupaka shombo watu wanadai umtumbui kwakuwa ni msukuma mwenzako ,kama mimi naongopa tuma watu wako waje Kimara watakuambia.
 
Wameongezewa miezi 6 ya mkataba ila kufikia Mwakani March atakuja mwekezaji mwingine wa mradi huo na UDART atang'oka
 
wasilete mwekezaji mwingine, wafungue milango ya ushindani kama daladala za kawaida. Asiwepo mtoa huduma mmoja tu!
 
Miezi sita yote hiyo??? wawaondowe tu sasa hivi... wameshindwa hao......
Bila shakha wameshindwa lakini inaonekana huyo mwekezaji mwingine ameomba muda hadi March 2019 ila nasikia gari zake zitakuwa si mchezo anajipanga vyema kukabiliana na changamoto za jiji.
 
Tangulini Msukuma akaongoza biashara kubwaa?
Huyo Kisena akachunge Ngombe tu,

Kiwanda chacke cha Basic element kishakufaa
 
wasilete mwekezaji mwingine, wafungue milango ya ushindani kama daladala za kawaida. Asiwepo mtoa huduma mmoja tu!
Sawa yani kwa kutumia mifreji yao wawekezaji wengine wapewe permit tu watofautishwe kwa rangi tofauti na za hawa walioshindwa.
 
Bila shakha wameshindwa lakini inaonekana huyo mwekezaji mwingine ameomba muda hadi March 2019 ila nasikia gari zake zitakuwa si mchezo anajipanga vyema kukabiliana na changamoto za jiji.
Ok vizuri - kama ni mwekezaji mpya ndio ameomba; hio ni sawa. Ilikuwa ni kitu cha kijinga sana; eti barabara ziko; halafu hakuna magari ya kuchukua abiria; na barabara zinakaa idle tu.
 
Shida tupu
20181107_174233.jpg
 
Bila shakha wameshindwa lakini inaonekana huyo mwekezaji mwingine ameomba muda hadi March 2019 ila nasikia gari zake zitakuwa si mchezo anajipanga vyema kukabiliana na changamoto za jiji.
Si wawape wachina waliowazoea? Kuna kampuni ya mabasi inaitwa New Force nasikia ni wachina na wana mabasi zaidi ya mia...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom