Kwa ufupi sana naomba upitie haya machache ile kuepuka ajari barabarani!
1. Hakikisha unajari mda (Time management)
Kumbuka kinachoua watu wengi katika ajari ni haraka, unaposhindwa kupangilia mda wako Kwa kila jambo wewe tambua kwamba upo kwenye hatari kubwa ya kukimbia kimbia barabarani; jambo ambalo ni hatari kwako au chombo chako, pia kiuchumi sio vizuri kwasababu utatozwa faini barabarani sinazoepukika.
2. Jizoeshe kutembea speed ya kawaida
Kila jambo huanzia kwenye ubongo; elewa ubongo ni kitu cha kuzoea tabia; ukiweza kujishauri mwenyewe kuwa ni ujinga kwenda mbio barabarani, utakuwa umeupa ubongo kitu chema sana; kama wewe ni hupendi kupitwa njiani basi kuanzia Leo anza kubadilika; Jifunze kupuuza, jifunze kumuona mwenda mbio hajitambui, jifunze kufikili kabla ya kuamua jambo, jari Gari yako, epuka mbio, muone mwenda mbio mshamba, jifunze kujifariji kuwa wewe ndiyo pekee unakili, jifunze ustaarabu hakika utadumu.
3. Itambue barabara yako
Ewe mpendwa; ingawa magari yetu yana speed kubwa, lakini tambua kuwa, Barbara za Tanzania zinahitaji use mwenyeji kwakuwa hazina viwango, usitegemee alama za barabarani pekee, kumbuka kuna mashimo na matuta yasiyoonekana, zipende shorkup zako, Tambua kwamba barabara zinatumiwa na wengi; tambua kuna maroli huacha mawe barabarani ama Kwa kudondosha au kusahau baada ya matengenezo, jiwekee mazoea ya speed mfano; 50KMH
4. EPUKA SIFA
Tambua kwamba uwapo barabarani sifa za watu pembeni hazina faida kwako, sifa haziongezi mafuta kwenye Gari yako, sifa hazikupi matairi mapya, zifa hazioshi Gari ,epuka sana kupenda sifa! Tambua kwamba sifa hazina faida kwako; jiulize faida ya ukifanyacho barabarani kwa mpita njia kina msaidia nini. Jifunze kujimiriki:
5. Jifunze kubana matumizi
Mfano una Gari yako; mathalani unataka kwenda Mwanza na Gari yako, jifunze kutafakali gharama kabla ya kwenda na Gari, chukulia wewe unatakiwa uwahi tukio Mwanza, Na hujapangilia mda wako, maanake utajaza mafuta njiani ie Tsh 200000/= inategemea na Gari yako, utakwenda Kwa speed kubwa maanake utatozwa faini barabarani ie Tsh 180000/= utakula njiani, na wakati mwingine Gari kuharibika njiani- Ewe mtanzania hivi ni kwanini usipande ndege ukakata tiketi ya go & return Kwa being nafuu? Kama utahitaji Gari; ukifika huko tumia Gari za kukodi; Jifunze kwenda na ulimwengu unavyotaka -MATATIZO SI TATIZO; Matatizo ni alama ya mkato ya wewe kuchangua njia nyingine
******************************
UKIWEZA KUZINGATIA MDA WAKO; NA HAYO MENGINE UTAKUWA UMEPUNGUZA UWEZEKANO MKUBWA SANA WAKUPATA AJARI PAMOJA NA FAINI ZA BARABARANI;
"Endesha Kwa malengo" Matatizo siyo tatizo"
KARIBUNI