bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,376
- 3,977
Mimi ni mpenzi sana wa magari makubwa na pia ni dereva, mara nyingi nikipita hapa friends corner kushuka unga ltd hapa Arusha naona scania nyingi lakini zimekufa za iliokua kampuni ya Tango kwa kuziangalia inaonyesha zililetwa hapo zikiwa nzima, Je! Huyu jamaa alipatwa na nini?